Mimi siwezi kabisa, je mwenzangu kwako ipoje?

Aaaaaah we hujabanwa na shida wewe[emoji23][emoji23]ukibanwa wala hujizungushi,unakopa vizuri tu,tena ukiwa muaminifu unakopeshwa hata vikubwa
 
hajahahahaha.
ngoja nijaribu sjui watanikopesha.
maana daah
 
Mie nakopa vizuri tu, why not!! Shida haina adabu, ila kulipa lazima.
 
Mm nadaiwa ....tala ile app ya kukopa ...nadaiwa na airtlel timiza...m kopa wananida ...na sijawah walipa na siwalipi ngooo...wananipigia simu za vitisho .....
Hali ngumu hii
 
hujisikii vibaya kukopa bila kulipa mku???
 
Huku kwetu tunakopeshana bila uwoga wala wasi wasi na wakati wa kulipa tunalipana......maisha ndo yanaenda hvo mdgo wangu
 
Back
Top Bottom