Hahahaa unanitega nidanganye hadharani?
Ndio, zaidi ya mara moja, na sikopi kwa kila mtu. Namshukuru Mungu nna kipaji cha kulipa.
Nimejifunza kutokubeba dhiki kwenye mfuko wa rambo isionekane na kila mtu...
Umenichekesha, maelezo kibao ukimsifiaUnakopa tu mkuu ukifika
Unaanza
Mangi siku hizi unapendeza sijui unakula nini !
Yaani na biashara inazidi kukua (hapo unatabasamu)
Kisha unamalizia
Ila mwenzio mangi maji yamezidi unga nifanyie basi na mie nipate kula leo
Kesho ninaenda kusaini cheki nitarekebisha....
Hapo full smile
Eeeh make him feel important first.Umenichekesha, maelezo kibao ukimsifia
Unakopa tu mkuu ukifika
Unaanza
Mangi siku hizi unapendeza sijui unakula nini !
Yaani na biashara inazidi kukua (hapo unatabasamu)
Kisha unamalizia
Ila mwenzio mangi maji yamezidi unga nifanyie basi na mie nipate kula leo
Kesho ninaenda kusaini cheki nitarekebisha....
Hapo full smile
Unatafuta maneno ya dinihahahahahhahahahah.
mbavu zangu.
itakuaje Kama akigoma kukukopesha??
Nakuwa very straightforward: nikitaka kukopa huwa nakuwa na cash kiasi (nusu au above) so nalipia na kubaki na deni. I.e, vyakula nanunua in bulkafadhali wew umekua honest.
but kwa upande wako.
hua Una anzaje?