Mimi siwezi kabisa, je mwenzangu kwako ipoje?

Nakuwa very straightforward: nikitaka kukopa huwa nakuwa na cash kiasi (nusu au above) so nalipia na kubaki na deni. I.e, vyakula nanunua in bulk

Kwa sisi wenye familia bulk ndio mpango mzima.
 
Ikitokea nimefikwa sikopi kwa Mangi ila nitatafuta mtu wa karibu anikope Pesa halafu nakwenda kwa Mangi kununua.

daaah.
hapo umenena

but inategemea unaenda kukopakwa nani.
maana wengine ni sheeeadah.
unakuta ni MTU wa karibu kwako but ukitoka tu anakuaanz kuku......
 
daaah.
hapo umenena

but inategemea unaenda kukopakwa nani.
maana wengine ni sheeeadah.
unakuta ni MTU wa karibu kwako but ukitoka tu anakuaanz kuku......
Hapana Mshenga mie nina watu maalum ambao ndio najiona nafsi yangu inawaamini.

Na ni mara chache sana kutokea wakawa hawana.
 
Hahahhaa hii nimeipenda
 
Hapana Mshenga mie nina watu maalum ambao ndio najiona nafsi yangu inawaamini.

Na ni mara chache sana kutokea wakawa hawana.

hongera Sana

kwa hapo unakua umecheza karata nzuri.
na wakati wa kurudisha Deni usiwe unalichelewesha mwali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…