Hahaaaaa. Sawa Mshenga.hongera Sana
kwa hapo unakua umecheza karata nzuri.
na wakati wa kurudisha Deni usiwe unalichelewesha mwali.
Unakopaje kila siku?hapo sawa mkuuu.
but usiwe unafanya kukopa kila siku
Kwahiyo wewe unapata shida kila siku?hahaha.
hapo kwenye shida haina adabu ndo pana leta kukopa daily.
ni mawazo yangu tu.