Mimi siyo malaika ni binti wa kawaida tu!

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Huwa navumilia sana lakini kuna muda hata mm nakereka jamani.
Naombeni niongee na hater wangu wa JF;

1.Kama hunipendi naomba uniblock

2.Hunipendi na unafungua nyuzi zangu huoni kama unazidi kuumia kwenye roho yako?

3.Unavyolike comment ninazotukanwa account yako benki inaongeza madorali?

4.Labda nikwambie hivi kuna watu wanafurahia mastory kutoka kwa Demiss ukinichukia wewe mwenzako ndo kwanza ananichukua na kunipeleka Pizzeria kula Pizza kutokana na Nyuzi zangu ninazoandika
.
5.Alafu mm mbona nina sura mbaya tu alafu sina chura nina flat ndo maana napenda mambo mazuri yani vyote hivyo ninyimwee na mambo mazuri ninyimwee llooooooh .

6.Alafu mm kuwa hapa Jf hapaniongezei pesaa bank wala hapanilipiii kodi ya nyumbaa kwahiyo tusichoshane wala tusikaushane vizazi.

7.Wala usiangaike kutengeneza id mpya kunitukana maana mm ni kama kichaaa hata unitukane sitapunguza utamu wa bumbunda langu litabak palepale na ulimbo wakeee.

8.Jamiiforum nimeikuta na nitaiacha hivi hivi .

9.Alafu mm yani napenda mapenzi kuliko chochote yani labda niwaambie wote tungekuwa na akili sawa kusingekuwa na haja ya kuwa na majukwaaa mbali mbali.

10.Hapa Jf kuna wachawi,wapenda kubet,wapenda siasa,wafanyabiashara,wapenda kula,na wapenda mapenzi kama mm hivyo TUNATEGEMEANA KATIKA KUENDESHA JAMIIFORUM.


DEMISS NASEMAJE "UTAPATA TABU SANA
 
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji11]kinyundoo hichoooo..mzeiyaaaaa!!

Ukiskia paaaah!limekugusa!
Wapo sana hao!hakujui,humjui lakini anaruka ruka na wewe kama maharage jikoni!!

Msg sent and delivered!!
Lazima apite hapaa nakwambia anataman kucomment lakini akijifikiria roho yake mbaya kama harufu ya period yangu anabak kulike comment za matusi tu mxeweew NASEMAJE NAAAAAAANZAAAA UPYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Lazima apite hapaa nakwambia anataman kucomment lakini akijifikiria roho yake mbaya kama harufu ya period yangu anabak kulike comment za matusi tu mxeweew NASEMAJE NAAAAAAANZAAAA UPYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] pole yake huyo kijusoooo!!!

Mwanamke au mwanamme
 
Vumbi la kongwa limetibuka,raia hatuioni stendi.
 
Yaani kila mtu anatukana mi ndo nstukane? Kweli nimebadilika.

Kwahiyi unaonewa wivu kisa Kasim Mganga au?
 
My dear Demiss ... calm down.

Ukilalamikia kusemwa, Nifah asemeje?
Ingekuwa kusema ni kiwango cha elimu basi mimi ningekuwa na PhD ilhali wewe ungekuwa ‘o level’.

Labda tu nikuambie,ktk Dunia hii huwezi kuwazuia watu kusema,kamwe!
Kaa ukijua kwamba watu wameumbiwa maneno hivyo lazima waseme.

Mind your own business na shikamana na wale wanaokupenda tu,nikiwa na maana usiwape attention wabaya wako.
Usiwajibu wala usijieleze,huo ni udhaifu mkubwa kuliko.
 
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji11]kinyundoo hichoooo..mzeiyaaaaa!!

Ukiskia paaaah!limekugusa!
Wapo sana hao!hakujui,humjui lakini anaruka ruka na wewe kama maharage jikoni!!

Msg sent and delivered!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama mimi kuna kikongwe kinahangaika na mimi jamani,kila nilipo yupo...
Nami nammaliza kabisa kwa kutokujishughulisha nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…