Mimi siyo malaika ni binti wa kawaida tu!

Mimi siyo malaika ni binti wa kawaida tu!

Yeyote anayeanika wenzie ni mshamba tu,mimi na umbea wangu wote sijawahi wala sitokaa nifanye huo upuuzi.
Kwanza miye mtu wa hvyo huwaga sinaga msamaha nae binafsi kabisaa....maana mnafiki!

Kuna watu wanakera humuu!

Ujue nifah wengine wamekuja jf kutafuta kick,kutafuta likes na comments wako..waonekane kwamba wao ndo wanaongoza kwa likes na comment's so wanatafuta kila namna kujulikana..!!
 
Back
Top Bottom