[emoji4] [emoji4] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hakuna loloteKwa jicho hilo kwenye Avatar,huwezi kuwa muoga!
Naomba untoe Bibie[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Hahahaha mnanijaza mimi
Eenh bado upo nayo tu sio mm huyo umeona mwenye picha yake kaja kudai
My dear Demiss ... calm down.
Ukilalamikia kusemwa, Nifah asemeje?
Ingekuwa kusema ni kiwango cha elimu basi mimi ningekuwa na PhD ilhali wewe ungekuwa ‘o level’.
Labda tu nikuambie,ktk Dunia hii huwezi kuwazuia watu kusema,kamwe!
Kaa ukijua kwamba watu wameumbiwa maneno hivyo lazima waseme.
Mind your own business na shikamana na wale wanaokupenda tu,nikiwa na maana usiwape attention wabaya wako.
Usiwajibu wala usijieleze,huo ni udhaifu mkubwa kuliko.
Utamu wa BUMUNDA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwa navumilia sana lakini kuna muda hata mm nakereka jamani.
Naombeni niongee na hater wangu wa JF;
1.Kama hunipendi naomba uniblock
2.Hunipendi na unafungua nyuzi zangu huoni kama unazidi kuumia kwenye roho yako?
3.Unavyolike comment ninazotukanwa account yako benki inaongeza madorali?
4.Labda nikwambie hivi kuna watu wanafurahia mastory kutoka kwa Demiss ukinichukia wewe mwenzako ndo kwanza ananichukua na kunipeleka Pizzeria kula Pizza kutokana na Nyuzi zangu ninazoandika
.
5.Alafu mm mbona nina sura mbaya tu alafu sina chura nina flat ndo maana napenda mambo mazuri yani vyote hivyo ninyimwee na mambo mazuri ninyimwee llooooooh .
6.Alafu mm kuwa hapa Jf hapaniongezei pesaa bank wala hapanilipiii kodi ya nyumbaa kwahiyo tusichoshane wala tusikaushane vizazi.
7.Wala usiangaike kutengeneza id mpya kunitukana maana mm ni kama kichaaa hata unitukane sitapunguza utamu wa bumbunda langu litabak palepale na ulimbo wakeee.
8.Jamiiforum nimeikuta na nitaiacha hivi hivi .
9.Alafu mm yani napenda mapenzi kuliko chochote yani labda niwaambie wote tungekuwa na akili sawa kusingekuwa na haja ya kuwa na majukwaaa mbali mbali.
10.Hapa Jf kuna wachawi,wapenda kubet,wapenda siasa,wafanyabiashara,wapenda kula,na wapenda mapenzi kama mm hivyo TUNATEGEMEANA KATIKA KUENDESHA JAMIIFORUM.
DEMISS NASEMAJE "UTAPATA TABU SANA
Furaha ni chakula cha roho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]umenifurahisha sana
Asanteni jaman nimesamehewa ngoja niendelee na mambo mengine onyo nililopewa siyo la nchi hiiHaki tena nakuambia kuna majitu yanasifa humu balaa...kichefuchefu kabisaa....!!!
Mpk wajiuliza huyu vipi,karogwa au kavurugwa na maisha!
Atoe tu kwa kweliMkwe ngoja tumwambie atoe