Eti Nifah unanipenda mimi?My dear Demiss ... calm down.
Ukilalamikia kusemwa, Nifah asemeje?
Ingekuwa kusema ni kiwango cha elimu basi mimi ningekuwa na PhD ilhali wewe ungekuwa ‘o level’.
Labda tu nikuambie,ktk Dunia hii huwezi kuwazuia watu kusema,kamwe!
Kaa ukijua kwamba watu wameumbiwa maneno hivyo lazima waseme.
Mind your own business na shikamana na wale wanaokupenda tu,nikiwa na maana usiwape attention wabaya wako.
Usiwajibu wala usijieleze,huo ni udhaifu mkubwa kuliko.
Hata ukinisema mi ntaendelea kukuporomoshea madongo.Huwa navumilia sana lakini kuna muda hata mm nakereka jamani.
Naombeni niongee na hater wangu wa JF;
1.Kama hunipendi naomba uniblock
2.Hunipendi na unafungua nyuzi zangu huoni kama unazidi kuumia kwenye roho yako?
3.Unavyolike comment ninazotukanwa account yako benki inaongeza madorali?
4.Labda nikwambie hivi kuna watu wanafurahia mastory kutoka kwa Demiss ukinichukia wewe mwenzako ndo kwanza ananichukua na kunipeleka Pizzeria kula Pizza kutokana na Nyuzi zangu ninazoandika
.
5.Alafu mm mbona nina sura mbaya tu alafu sina chura nina flat ndo maana napenda mambo mazuri yani vyote hivyo ninyimwee na mambo mazuri ninyimwee llooooooh .
6.Alafu mm kuwa hapa Jf hapaniongezei pesaa bank wala hapanilipiii kodi ya nyumbaa kwahiyo tusichoshane wala tusikaushane vizazi.
7.Wala usiangaike kutengeneza id mpya kunitukana maana mm ni kama kichaaa hata unitukane sitapunguza utamu wa bumbunda langu litabak palepale na ulimbo wakeee.
8.Jamiiforum nimeikuta na nitaiacha hivi hivi .
9.Alafu mm yani napenda mapenzi kuliko chochote yani labda niwaambie wote tungekuwa na akili sawa kusingekuwa na haja ya kuwa na majukwaaa mbali mbali.
10.Hapa Jf kuna wachawi,wapenda kubet,wapenda siasa,wafanyabiashara,wapenda kula,na wapenda mapenzi kama mm hivyo TUNATEGEMEANA KATIKA KUENDESHA JAMIIFORUM.
DEMISS NASEMAJE "UTAPATA TABU SANA
ha hah hahaYaani kila mtu anatukana mi ndo nstukane? Kweli nimebadilika.
Kwahiyi unaonewa wivu kisa Kasim Mganga au?
ha HAhahaaNi balaa,lile jukwaa la kina nape balaa
ha hah haha dadeq ...."" atakwambia yuko Pluto ""..wazee wa msimbazi wapo stejiniNakupiga faini ya kitu ambacho najua unacho ili kuepusha visingizio kuwa huna
hahaha acha kujitia mawenge "" haukijui kwani ""!?Ni kitu gani kwani
haha haha watu woyooooooooooAsante nalipenda ndo linalonifanya niringe mjini I love my papuyeee no matter what
Eti Nifah unanipenda mimi?
Hapo namb 4Huwa navumilia sana lakini kuna muda hata mm nakereka jamani.
Naombeni niongee na hater wangu wa JF;
1.Kama hunipendi naomba uniblock
2.Hunipendi na unafungua nyuzi zangu huoni kama unazidi kuumia kwenye roho yako?
3.Unavyolike comment ninazotukanwa account yako benki inaongeza madorali?
4.Labda nikwambie hivi kuna watu wanafurahia mastory kutoka kwa Demiss ukinichukia wewe mwenzako ndo kwanza ananichukua na kunipeleka Pizzeria kula Pizza kutokana na Nyuzi zangu ninazoandika
.
5.Alafu mm mbona nina sura mbaya tu alafu sina chura nina flat ndo maana napenda mambo mazuri yani vyote hivyo ninyimwee na mambo mazuri ninyimwee llooooooh .
6.Alafu mm kuwa hapa Jf hapaniongezei pesaa bank wala hapanilipiii kodi ya nyumbaa kwahiyo tusichoshane wala tusikaushane vizazi.
7.Wala usiangaike kutengeneza id mpya kunitukana maana mm ni kama kichaaa hata unitukane sitapunguza utamu wa bumbunda langu litabak palepale na ulimbo wakeee.
8.Jamiiforum nimeikuta na nitaiacha hivi hivi .
9.Alafu mm yani napenda mapenzi kuliko chochote yani labda niwaambie wote tungekuwa na akili sawa kusingekuwa na haja ya kuwa na majukwaaa mbali mbali.
10.Hapa Jf kuna wachawi,wapenda kubet,wapenda siasa,wafanyabiashara,wapenda kula,na wapenda mapenzi kama mm hivyo TUNATEGEMEANA KATIKA KUENDESHA JAMIIFORUM.
DEMISS NASEMAJE "UTAPATA TABU SANA
Dih hasira hizi, kula pizza kidogoHuwa navumilia sana lakini kuna muda hata mm nakereka jamani.

Dunia na yaliyomoHahahahha wacha weeee
Ohooo... haya chunga kondoo wangu mama.Sana tu Babu [emoji7]