Mimi siyo malaika ni binti wa kawaida tu!

Umenena
 
Kiukweli mm ni mmoja wa anayependa story zako life is to short to be siriaz always
 
Na ukiona hausemwi utakuwa haupo duniani anza kuwa na wasiwasi sana
 
Mambo yako binafsi ni mambo yako binafsi, ukiamua kuyaleta humu ni maamuzi yako. Mimi sana sana ntaenjoy pumba na mchele hizo.
Ila kuna baadhi ya vitu unatakiwa kuvunga, hayo mambo ya sijui una kazi yako, sidhani kama sahihi kutuambia sisi, inakuwa kama unatutambishia, wakati wala hatuna habari.
Mimi ni hayo tu, no hard feelings.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…