Niambie mrembo
Unaendelea kujikataa tu, haya we endeleaHe he huo urembo vipi
Kibonge mweusi,eeh endelea nywele ndefu au zimekatwa? ,mrefu au mfupi? ...nilipitia course ya kuchora watu /MTU kupitia maelezoWoiiii mm sio naokotaga huko insta nazipenda mm kibonge mweusi
Mimi shuleni mashairi nilikua nafeli sembuse codes...PM yangu hujaiona aui?!![emoji2] [emoji2] [emoji2] nenda straight PM...wanivuruga tu hapa....Id yake ya J na L s
Waooooh kama kawaaaaa watapata tabu sanaaa namuona anavyotaman kuja hapakuniponda lakini uzi tayar umeshamjibu mapovu yakeeeeKumbe kuna watu wanapata tabu humu hahaha proudly to be culture...lol.
Pole Demiss just continue to show love and live your life gal.
Kibonge mweusi,eeh endelea nywele ndefu au zimekatwa? ,mrefu au mfupi? ...nilipitia course ya kuchora watu /MTU kupitia maelezo
Napenda wadada vibonge ,vibaya sana ,yaani nikionaga kibonge akili zinaruka ...OK ila we unaweza ukawa na nywele size ya kati hvNywele ndefu sijui mfupi sijui mrefu nahisi size ya kati
Kwanza napenda wadada vibonge vibaya sana,Nywele ndefu sijui mfupi sijui mrefu nahisi size ya kati
Basi mm ni kibongeNapenda wadada vibonge ,vibaya sana ,yaani nikionaga kibonge akili zinaruka ...OK ila we unaweza ukawa na nywele size ya kati hv
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ngoja niende jukwaa La vichekesho miyePunguza speed ya michambo utapona tu dear... lol
Asee ushanivuruga akili ,ugonjwa Wangu huuBasi mm ni kibonge
Pole jamani kwa kukuvurugaAsee ushanivuruga akili ,ugonjwa Wangu huu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nakuona hapo kwenye avatar hahaha easy to carry
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mfyuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] endelea kujijaza tu picha nimeiokota insta uko
Sidhani km nitapoa,moyo ushaanza kwenda mbioPole jamani kwa kukuvuruga