Picha yako tu imenifurahishaUmefurahi na nn eti
Safi uwe unatutembelea na kule, karibu sana JINdio nimetoka huko jamani
Nimejionea jamaniNdio tatizo letu hasa huko bongo ndio kabisa ,Shunie hebu twende kule ukajionee maajabu ya uchongaji na uchoraji
Picha yako tu imenifurahisha
Safi uwe unatutembelea na kule, karibu sana JI
Jamani wewe! Sasa ndio mapozi gani hayo ya kupiga pichaa? Hayo macho veepee? 😀😀😀Demmis naomba jina La huyo mtu tafadhali
Chambaaaa mkwe..Kwanza miye mtu wa hvyo huwaga sinaga msamaha nae binafsi kabisaa....maana mnafiki!
Kuna watu wanakera humuu!
Ujue nifah wengine wamekuja jf kutafuta kick,kutafuta likes na comments wako..waonekane kwamba wao ndo wanaongoza kwa likes na comment's so wanatafuta kila namna kujulikana..!!
Asimpotajaa anamuogopa (kidding)Demmis usijifanye kulike hapa mtaje tu hakuna namnaaa[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji11]Nakazia arudi jamani
Shunie minyotaaaaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]We mwanamke huwa una kismati sana ukicomment kwenye Uzi wowote ule unageuka trending.
Sasa Nina Uzi wangu elimishi na murua sana na ningependa uwafikie wengi ili waelimike, wastaajabu nakuburudika una siku kadhaa lakini umegeuka gofu sababu hujapita wewe na company yako....sasa nenda Kasome na kucomment tu na rafiki yako mumu then utakuwa trending ili na wengine wawe enlightened.
Pitia hapa kuingia Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa [emoji23] [emoji23]
Suala la Demiss niachie Mimi hilo, nalimudu.
Xoxo!
Mkwe unaniita Eeeh??Shunie alokwambia uweke picha yangu nani?
watu hawapendi vitu vigumu vigumu ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka tatizo ulipo intelligence uko watu hawafiki kabisa
Ndio[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]nani kamuambia aweke picha yangu!!![emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]mkwe unaruhusu vipi Mali za Li ziwe hadharaniMkwe unaniita Eeeh??
Ni dada ake ukumbuke [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sawa!!!ntakuita siku moja
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3]Mimi pia Dada yakeNi dada ake ukumbuke [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Kaweka eti herufi ya mwanzo na mwisho wa jina la huyo mtu...Asimpotajaa anamuogopa (kidding)
Shunie mwenye nyota zakeeeeShunie minyotaaaaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]