Mimi siyo malaika ni binti wa kawaida tu!

Mimi siyo malaika ni binti wa kawaida tu!

Kwanza miye mtu wa hvyo huwaga sinaga msamaha nae binafsi kabisaa....maana mnafiki!

Kuna watu wanakera humuu!

Ujue nifah wengine wamekuja jf kutafuta kick,kutafuta likes na comments wako..waonekane kwamba wao ndo wanaongoza kwa likes na comment's so wanatafuta kila namna kujulikana..!!
Chambaaaa mkwe..
 
We mwanamke huwa una kismati sana ukicomment kwenye Uzi wowote ule unageuka trending.

Sasa Nina Uzi wangu elimishi na murua sana na ningependa uwafikie wengi ili waelimike, wastaajabu nakuburudika una siku kadhaa lakini umegeuka gofu sababu hujapita wewe na company yako....sasa nenda Kasome na kucomment tu na rafiki yako mumu then utakuwa trending ili na wengine wawe enlightened.

Pitia hapa kuingia Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa [emoji23] [emoji23]

Suala la Demiss niachie Mimi hilo, nalimudu.

Xoxo!
Shunie minyotaaaaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom