Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Shunie alokwambia uweke picha yangu nani?Sipendi mambo za code mm kichwa kinauma huyo s ni shunie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shunie alokwambia uweke picha yangu nani?Sipendi mambo za code mm kichwa kinauma huyo s ni shunie
Acha uswahili dadangu[emoji12][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji11]kinyundoo hichoooo..mzeiyaaaaa!!
Ukiskia paaaah!limekugusa!
Wapo sana hao!hakujui,humjui lakini anaruka ruka na wewe kama maharage jikoni!!
Msg sent and delivered!!
Binafsi napendaga anavyojiachiaga humuDah
Mmempiga tena BAN aiseee.
Mfungulieni bana Demiss wetu.
Analichangamsha sana Jukwaa.
HatimayeMy dear Demiss ... calm down.
Ukilalamikia kusemwa, Nifah asemeje?
Ingekuwa kusema ni kiwango cha elimu basi mimi ningekuwa na PhD ilhali wewe ungekuwa ‘o level’.
Labda tu nikuambie,ktk Dunia hii huwezi kuwazuia watu kusema,kamwe!
Kaa ukijua kwamba watu wameumbiwa maneno hivyo lazima waseme.
Mind your own business na shikamana na wale wanaokupenda tu,nikiwa na maana usiwape attention wabaya wako.
Usiwajibu wala usijieleze,huo ni udhaifu mkubwa kuliko.
Wanakera watu wa humu kaka wengine!!sio kua tunawaogopa ila tunapotezeaAcha uswahili dadangu[emoji12]
Mbona sijaona anayekuchokoa?Wanakera watu wa humu kaka wengine!!sio kua tunawaogopa ila tunapotezea
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sawa!!!ntakuita siku mojaMbona sijaona anayekuchokoa?
Usiniite nitaharibu, sinaga uvumilivu sometimes[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sawa!!!ntakuita siku moja
Me nakumaind Kinoma, NI PM!Huwa navumilia sana lakini kuna muda hata mm nakereka jamani.
Naombeni niongee na hater wangu wa JF;
1.Kama hunipendi naomba uniblock
2.Hunipendi na unafungua nyuzi zangu huoni kama unazidi kuumia kwenye roho yako?
3.Unavyolike comment ninazotukanwa account yako benki inaongeza madorali?
4.Labda nikwambie hivi kuna watu wanafurahia mastory kutoka kwa Demiss ukinichukia wewe mwenzako ndo kwanza ananichukua na kunipeleka Pizzeria kula Pizza kutokana na Nyuzi zangu ninazoandika
.
5.Alafu mm mbona nina sura mbaya tu alafu sina chura nina flat ndo maana napenda mambo mazuri yani vyote hivyo ninyimwee na mambo mazuri ninyimwee llooooooh .
6.Alafu mm kuwa hapa Jf hapaniongezei pesaa bank wala hapanilipiii kodi ya nyumbaa kwahiyo tusichoshane wala tusikaushane vizazi.
7.Wala usiangaike kutengeneza id mpya kunitukana maana mm ni kama kichaaa hata unitukane sitapunguza utamu wa bumbunda langu litabak palepale na ulimbo wakeee.
8.Jamiiforum nimeikuta na nitaiacha hivi hivi .
9.Alafu mm yani napenda mapenzi kuliko chochote yani labda niwaambie wote tungekuwa na akili sawa kusingekuwa na haja ya kuwa na majukwaaa mbali mbali.
10.Hapa Jf kuna wachawi,wapenda kubet,wapenda siasa,wafanyabiashara,wapenda kula,na wapenda mapenzi kama mm hivyo TUNATEGEMEANA KATIKA KUENDESHA JAMIIFORUM.
DEMISS NASEMAJE "UTAPATA TABU SANA
Yan hata sijui kwa nn kapigwa ban wamfungulie tuDah
Mmempiga tena BAN aiseee.
Mfungulieni bana Demiss wetu.
Analichangamsha sana Jukwaa.
Shunie alokwambia uweke picha yangu nani?
Sidhani km nitapoa,moyo ushaanza kwenda mbio
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Shunie alokwambia uweke picha yangu nani?
mkwara mbuzii[emoji238] [emoji238] [emoji247]
taja jina;sio unaanza Ku 'vibrate'
Jr atakulinda[emoji15]
HahAa!hapana utavumilia tuUsiniite nitaharibu, sinaga uvumilivu sometimes
[emoji23] [emoji23] [emoji23]