Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,612
- 16,189
GTs,
Mimi siyo mtabiri ila naona kabisa wafuatao (ongezea) inabidi wapotezwe na yule aliyewatuma wafanye mauaji MO29.
Yaani iko hivi kesi ya ICC ili iwe na nguvu lazima pawe na watu watakao kiri kuwa walitumwa na aliyewatuma kuua. Ila kama hawapo kesi ya MO29 itakuwa haina nguvu.
Hivyo Muliro na akina IGP, akina Bashungwa etc na polisi wote waliouwa MO29 itabidi washinikizwe waue tena D09 na wakifanikiwa kuzima hayo maandamano kwa kuua watu kitakachofuata ni wao kuuawa ili kupoteza ushahidi.
Yaani iko hivi, sasa hivi watashinikizwa kusema hili jambo letu tulimalizie lasivyo tukizidiwa tutashitakiwa hivyo watapambana D09 kuua watu wakidhani wanajiokoa nafsi zao na ya yule aliyewatuma hahaha ila wakae wakijua baada ya hapo itakuwa zamu yao kuuawa.
Yaani ni kama vile hao polisi wauaji walivyochukua vijana wawasaidie kukusanya miili na kwenda kuzika kwenye makaburi ya halaiki huko mbeya na tunduma then waliwaua isipokuwa wachache walifanikiwa kukimbia hivyo na hawa waliotumwa na aliyewatuma kuua MO29 atawatumia tena kuua D09 !
Ushauri wangu, wawe makini sana