Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Wengi nikiandika humu maisha yangu wanadhani mimi ni tajiri. Wala si tajiri. Maisha ya kumiliki gari GMC,RR,Mercedes Benz, BMW, VW za miaka ya hivi karibuni na kukaa apartment Oysterbay si utajiri.
Nawakatilia kabisa.ni maisha ya kawaida ambayo mtanzania yeyote anaweza ishi. Mimi kusafiri kwa ndege kila wakati au kutowaza pesa ndogo ndogo hizi ni maisha ya kawaida sana.
Mzee huwa hanielewi kwa nini ktk nchi zooooote Duniani nliamua niwe nakaa Tanzania, mpaka leo ndugu zangu wananishangaa sana, mimi huwajibu mkataa kwao ni mtumwa.
Na siwezi jitengea na maisha ya watanzania wenzangu.toka mwaka ule nimekuja nikalia baada ya kuona maisha ya watu wa Sinza nlijiwa na Imani sana.
Nawasisitizia mimi si tajiri mzee wangu huwa anavaa saa mpaka ya milion 30 za kitanzania. Mimi yangu ni Rolex ya Mill 7 tu. Ukiacha hizi nyingine za designers mbalimbali.
Wengi wananiambia kidukulilo unajenga wapi. Mimi hii apartment ninayoishi ndo makazi tayari. Nliuziwa. Lakini pia Kigamboni kuna vinyumba viwili pale Avic Town. Wagen wangu sometimes wanafikia kule. Na zile bei yake ni ndogo tu. Kila moja Bilion moja ukichanga changa mishahara ndani ya miaka 2 unachukua nyumba. Ni malengo tu.
Suala la kuoa ndio hapo napata changamoto.natamani nioe mwanamke wa kitanzania. Awe na akili, awe mzuri, awe pia bikra. Mimi napenda vitu nianze tumia mwenyewe.
Si sababu nina pesa ...hapana ni mipango tu. Mi siyo tajiri nakataa kabisa. Maisha yangu ni ya uchumi wa kati tu.sema shida ndogo ndogo sina kwa kweli. Mi nashauri watu wasome.wasome sana wapate ajira makampuni ya Kimataifa au waanzishe Kampuni zao.