Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Kiduku Lilo Kama Kiduku Lilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OhooooSina ushemeji na mtu humu JF. Ishia hukoooo
Mkuria wakwanza kua na sifa za kihayaWengi nikiandika humu maisha yangu wanadhani mimi ni tajiri. Wala si tajiri. Maisha ya kumiliki gari GMC,RR,Mercedes Benz,BMW,VW za miaka ya hivi karibuni na kukaa apartment Oysterbay si utajiri.
Nawakatilia kabisa.ni maisha ya kawaida ambayo mtanzania yeyote anaweza ishi. Mimi kusafiri kwa ndege kila wakati au kutowaza pesa ndogo ndogo hizi ni maisha ya kawaida sana.
Mzee huwa hanielewi kwa nini ktk nchi zooooote Duniani nliamua niwe nakaa Tanzania, mpaka leo ndugu zangu wananishangaa sana, mimi huwajibu mkataa kwao ni mtumwa.
Na siwezi jitengea na maisha ya watanzania wenzangu.toka mwaka ule nimekuja nikalia baada ya kuona maisha ya watu wa Sinza nlijiwa na Imani sana.
Nawasisitizia mimi si tajiri mzee wangu huwa anavaa saa mpaka ya milion 30 za kitanzania. Mimi yangu ni Rolex ya Mill 7 tu. Ukiacha hizi nyingine za designers mbalimbali.
Wengi wananiambia kidukulilo unajenga wapi. Mimi hii apartment ninayoishi ndo makazi tayari. Nliuziwa. Lakini pia Kigamboni kuna vinyumba viwili pale Avic Town. Wagen wangu sometimes wanafikia kule. Na zile bei yake ni ndogo tu. Kila moja Bilion moja ukichanga changa mishahara ndani ya miaka 2 unachukua nyumba. Ni malengo tu.
Suala la kuoa ndio hapo napata changamoto.natamani nioe mwanamke wa kitanzania. Awe na akili, awe mzuri, awe pia bikra. Mimi napenda vitu nianze tumia mwenyewe.
Si sababu nina pesa ...hapana ni mipango tu. Mi siyo tajiri nakataa kabisa. Maisha yangu ni ya uchumi wa kati tu.sema shida ndogo ndogo sina kwa kweli. Mi nashauri watu wasome.wasome sana wapate ajira makampuni ya Kimataifa au waanzishe Kampuni zao.
Moderator kama wanaweza waanzishe JF Fund. But naona nao ni kama hawaamini mtanzania anaweza kuwa na maisha haya. Nadhani ni mazingira waliyopitia.
😆😆😆Kiduku Lilo
Anazingua hapo kwenye bikira, akamuoe DIVAHapa nimekuelewa vizuri sana!
huyo ndo tajiri namba one humu jamvini ukimtoa mo dewji haahaaaahaaaa!Kumbe kuna hadi matajiri humu JF
Ugali wa MusomaHuo ugali nilipouona kwa Mara ya kwanza nilistaajabu sana,.
Unataka kusema nini kihusu vibamia na sisi wachaga?Mimi sio bikra nimetumika kidogo tu na kibamia cha kichaga
Tajiri kasema watu wafanye kazi sanaUlipotea sana mshua... sema nina shida moja imenikabia kooni kinyama yani, unaweza kunisevu japo 100k inikwamue?
Mpaka nimeutamani huo ugali wa Kisuma wa udaga na mbuta/ chengu/ manule/mkombozi. Wakokozi wenzangu wamenielewaHaya rudi uhalisia dinner hio, ukimaliza ukaoge maji ya bomba la mvua yameshachujwa kabisa
View attachment 1689295 View attachment 1689296
Usifananishe bangi na vitu vya kipuuziChalii angu acha kuvuta bangi na sigara kali zilizo expire.