Mimi siyo Tajiri. Mngemwona Baba yangu mngezimia na kufa kwa mshangao

Ulipotea sana mshua... sema nina shida moja imenikabia kooni kinyama yani, unaweza kunisevu japo 100k inikwamue?
 
Wengi nikiandika humu maisha yangu wanadhani mimi ni tajiri. Wala si tajiri. Maisha ya kumiliki gari GMC,RR,Mercedes Benz,BMW,VW za miaka ya hivi karibuni na kukaa apartment Oysterbay si utajiri.

Nawakatilia kabisa.ni maisha ya kawaida ambayo mtanzania yeyote anaweza ishi. Mimi kusafiri kwa ndege kila wakati au kutowaza pesa ndogo ndogo hizi ni maisha ya kawaida sana.

Mzee huwa hanielewi kwa nini ktk nchi zooooote Duniani nliamua niwe nakaa Tanzania, mpaka leo ndugu zangu wananishangaa sana, mimi huwajibu mkataa kwao ni mtumwa.

Na siwezi jitengea na maisha ya watanzania wenzangu.toka mwaka ule nimekuja nikalia baada ya kuona maisha ya watu wa Sinza nlijiwa na Imani sana.

Nawasisitizia mimi si tajiri mzee wangu huwa anavaa saa mpaka ya milion 30 za kitanzania. Mimi yangu ni Rolex ya Mill 7 tu. Ukiacha hizi nyingine za designers mbalimbali.

Wengi wananiambia kidukulilo unajenga wapi. Mimi hii apartment ninayoishi ndo makazi tayari. Nliuziwa. Lakini pia Kigamboni kuna vinyumba viwili pale Avic Town. Wagen wangu sometimes wanafikia kule. Na zile bei yake ni ndogo tu. Kila moja Bilion moja ukichanga changa mishahara ndani ya miaka 2 unachukua nyumba. Ni malengo tu.

Suala la kuoa ndio hapo napata changamoto.natamani nioe mwanamke wa kitanzania. Awe na akili, awe mzuri, awe pia bikra. Mimi napenda vitu nianze tumia mwenyewe.

Si sababu nina pesa ...hapana ni mipango tu. Mi siyo tajiri nakataa kabisa. Maisha yangu ni ya uchumi wa kati tu.sema shida ndogo ndogo sina kwa kweli. Mi nashauri watu wasome.wasome sana wapate ajira makampuni ya Kimataifa au waanzishe Kampuni zao.

Moderator kama wanaweza waanzishe JF Fund. But naona nao ni kama hawaamini mtanzania anaweza kuwa na maisha haya. Nadhani ni mazingira waliyopitia.
Doh!

Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
 
Yeah,kwani hii si ni jf tu mm nakubali kabisa wewe bwana mdogo ni tajiri wa kutupwa,keep it up....
 
JF wengi ni matajiri kasoro wewe uliyenunua Nyumba porini Avic Town badala ya kununua Apartment Oysterbay Kilima Nyege.
 
Haahaaha tajiri wangu kiduku uwe unapita pita hapa coco beach kuna kakijiwe ketu ka kuvuta bange na wana,maana ulishaletaga Uzi hapa wa siku ya kwanza kuvuta bangi nadhani itapendeza ukija na hilo ford ranger lako!
 
Back
Top Bottom