Mimi Yanga ila mwaka huu Simba wametuzidi kwenye jezi

Sitishii ila wakiendelea kuleta hivyo vituko hakika navaa za msimbazi mie kwani sipendi kupendeza au
Yaani kwa mtu ambaye ni sound minded hawezi kuponda jezi za yanga tena kwa kulinganisha na jezi za simba
 
Angalia jezi letu la kimataifa. Hakuna kama Mo.
 

Attachments

  • IMG_20200911_172803.png
    472 KB · Views: 2
Sasa wewe umependa nini ile ramani au?
Kwanza mchanganyiko wa rangi na jinsi zilivyo fifishwa na kukolezwa ukijumlisha na jinsi zilivyo pangiliwa umefanya umefanya rangi za jezi kuwa poa sana, pia muundo wa jezi yenyewe iko good. Sasa cjui kipi kipo kwenye hiyo jezi ya simba kinacho kufanya useme huwezi nunua jezi ya yanga labda ya simba wakati unadai wewe ni Dar young African die hard fan
 
Wewe umejawa na ushabiki wewe sio mwanamichezo ndomana hata kitu kivovu kazi yako kusifia mimi ni mwanamichezo siwezi kufagilia kibovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…