Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hata picha yenyewe iliyoambatanishwa haina maadili.Hakika nimetoka kuona jezi zetu mpya wana janngwani nimekuwa disappointed kwakweli, sikuwahi fikiria kusubiri kote kule wangetuletea vituko kama vile aisee.. Jezi kuna ramani humohumo, jezi ina ukungu humohumo, designer wetu sijui wamekwama wapi mbona wenzetu simba jezi zao mzuri aisee, jezi za simba rangi imetulia isitoshe ata designer wao hakutaka kucomplicate sana lakini uzi umetoka bomba..
Angalizo:: management yetu ya yanga sisi ndo wanunuzi sasa mkiendeleza kutuletea jezi kama hizi tena sie tunasema kabisa tutaanza kuvaa jezi za msimbazi View attachment 1566475
Why mwanamke inaonekana chupi iko nje ?