Mimi Yanga ila mwaka huu Simba wametuzidi kwenye jezi

Mimi Yanga ila mwaka huu Simba wametuzidi kwenye jezi

Hakika nimetoka kuona jezi zetu mpya wana janngwani nimekuwa disappointed kwakweli, sikuwahi fikiria kusubiri kote kule wangetuletea vituko kama vile aisee.. Jezi kuna ramani humohumo, jezi ina ukungu humohumo, designer wetu sijui wamekwama wapi mbona wenzetu simba jezi zao mzuri aisee, jezi za simba rangi imetulia isitoshe ata designer wao hakutaka kucomplicate sana lakini uzi umetoka bomba..
Angalizo:: management yetu ya yanga sisi ndo wanunuzi sasa mkiendeleza kutuletea jezi kama hizi tena sie tunasema kabisa tutaanza kuvaa jezi za msimbazi View attachment 1566475
Hata picha yenyewe iliyoambatanishwa haina maadili.

Why mwanamke inaonekana chupi iko nje ?
 
Kwani kuna haja ya kubadilisha jezi kila mwaka? Kwa nini kama jezi imependwa isibadilishwe muundo, isipokuwa labda maudhui ya kiudhamini tu pale inapobidi?
 
Kwani kuna haja ya kubadilisha jezi kila mwaka? Kwa nini kama jezi imependwa isibadilishwe muundo, isipokuwa labda maudhui ya kiudhamini tu pale inapobidi?
Wabongo wagumu kuelewa kiufupi jezi haitakiwi ibadilike sana vitu vidogo tu has a material ndo unaweza kubadili
 
Hakika nimetoka kuona jezi zetu mpya wana janngwani nimekuwa disappointed kwakweli, sikuwahi fikiria kusubiri kote kule wangetuletea vituko kama vile aisee..

Jezi kuna ramani humohumo, jezi ina ukungu humohumo, designer wetu sijui wamekwama wapi mbona wenzetu simba jezi zao mzuri aisee, jezi za simba rangi imetulia isitoshe ata designer wao hakutaka kucomplicate sana lakini uzi umetoka bomba.

Angalizo:: management yetu ya yanga sisi ndo wanunuzi sasa mkiendeleza kutuletea jezi kama hizi tena sie tunasema kabisa tutaanza kuvaa jezi za msimbazi View attachment 1566475

Namba yako ya kadi ya mikia tafadhali
 
Hizi jezi kilichoharibu ni ile ramani walioiweka likubwa kwa pembeni. Isingekuwa hiyo ramani, ingevutia sana

Kulinganisha hizi jezi za Yanga na za Simba hapo ndipo ulipoonesha ngozi yako halisi kuwa ni mtu wa namna gani.

Mwisho ni kwamba hakuna aliyelazimishwa kuvaa jezi ya timu gani bali vaa unachokipenda kuvaa. Sijui una mtishia nani unavyosema utavaa jezi ya Simba?
On point. Nothing else to say
 
Back
Top Bottom