Mimi Yanga ila mwaka huu Simba wametuzidi kwenye jezi

Hii jezi ya Yanga ina rangi ya chura hasa
 
Mwisho ni kwamba hakuna aliyelazimishwa kuvaa jezi ya timu gani bali vaa unachokipenda kuvaa. Sijui una mtishia nani unavyosema utavaa jezi ya Simba?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si avae, kwani kashikiwa bunduki!!!!
 
Acheni uzwazwa jezi ya yanga Kali, simba wajifunze kitu hapo, tusiongrlee ushabiki was ovyo
 
Wewe kavae jezi yako ya simba, ya Yanga haikuhusu.
 
Waache waendelee kuipa hype jezi yetu kama ile zebra cross ya man utd, nasikia jezi zinakaribia kwisha wananchi wananunua kit mbili mbili both green & yellow.
 
Kweli uzuri wa kitu upo ndani ya muonaji mwenyewe!

Yani kunawatu wanaona huu uzi wa Yanga ni Mbaya?
 
Waache waendelee kuipa hype jezi yetu kama ile zebra cross ya man utd, nasikia jezi zinakaribia kwisha wananchi wananunua kit mbili mbili both green & yellow.
Hakuna kitu kama icho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…