Mimi Yanga ila mwaka huu Simba wametuzidi kwenye jezi

Mimi Yanga ila mwaka huu Simba wametuzidi kwenye jezi

Hii jezi ya Yanga ina rangi ya chura hasa
 
Mwisho ni kwamba hakuna aliyelazimishwa kuvaa jezi ya timu gani bali vaa unachokipenda kuvaa. Sijui una mtishia nani unavyosema utavaa jezi ya Simba?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si avae, kwani kashikiwa bunduki!!!!
 
Uzi huu daa
IMG_20200912_072601.jpeg
 
Acheni uzwazwa jezi ya yanga Kali, simba wajifunze kitu hapo, tusiongrlee ushabiki was ovyo
 
Hakika nimetoka kuona jezi zetu mpya wana janngwani nimekuwa disappointed kwakweli, sikuwahi fikiria kusubiri kote kule wangetuletea vituko kama vile aisee..

Jezi kuna ramani humohumo, jezi ina ukungu humohumo, designer wetu sijui wamekwama wapi mbona wenzetu simba jezi zao mzuri aisee, jezi za simba rangi imetulia isitoshe ata designer wao hakutaka kucomplicate sana lakini uzi umetoka bomba.

Angalizo:: management yetu ya yanga sisi ndo wanunuzi sasa mkiendeleza kutuletea jezi kama hizi tena sie tunasema kabisa tutaanza kuvaa jezi za msimbazi View attachment 1566475
Wewe kavae jezi yako ya simba, ya Yanga haikuhusu.
 
Waache waendelee kuipa hype jezi yetu kama ile zebra cross ya man utd, nasikia jezi zinakaribia kwisha wananchi wananunua kit mbili mbili both green & yellow.
 
Kweli uzuri wa kitu upo ndani ya muonaji mwenyewe!


Yani kunawatu wanaona huu uzi wa Yanga ni Mbaya?
 
Waache waendelee kuipa hype jezi yetu kama ile zebra cross ya man utd, nasikia jezi zinakaribia kwisha wananchi wananunua kit mbili mbili both green & yellow.
Hakuna kitu kama icho
 
Back
Top Bottom