Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,756
Heaven on earth bahati haiji mara mbili ujuee
wii mie nilikuwa namendea bahati ya kwa kaka
yako figganigga...
Lady doctor au unataka u wii ukufe!!!!!
Last edited by a moderator:
Heaven on earth bahati haiji mara mbili ujuee
pole sana my wii, halafu mbona TheDealer kila wakati moyo unamponyoka?
pole sana my wii, halafu mbona TheDealer kila wakati moyo unamponyoka?
na wewe umeona eenhe,unaweza kumkabidhi moyo wako
ukashangaa unamdondokea mwimgine fasta
Heaven on earth akija moyo wangu unatulia haudondoki tena!mwambie aje haraka moyo kudondoka ni hatari sana,asije akakosa raha za maisha
Lady doctor mie hapa nalilia u wiisi ndio na mimi nimeshtuka sasahivi my wii, alimuona mimisa moyo ukaachia 'pwaa' chini kidogo ukakatisha wewe.... Hajauokota vizuri,, akaubwaga tena chini
TheDealer jamani!!!!!Heaven on earth akija moyo wangu unatulia haudondoki tena!
Shaka ondoa honey wangu, moyo wangu umekudondokea kwa kweli, hadi imelia papaaaaaaaaa! hv sasa hv sina moyo, moyo wangu upo kwako!ndo hapo na mie nnapopata mashaka!!!
mwambie aje haraka moyo kudondoka ni hatari sana,asije akakosa raha za maisha
Shaka ondoa honey wangu, moyo wangu umekudondokea kwa kweli, hadi imelia papaaaaaaaaa! hv sasa hv sina moyo, moyo wangu upo kwako!
Lady doctor sa hivi naitwa barafu wa moyo......Naaam bebi wangu, nipo nakusikiliza sweet wangu, vp kuna tatizo lolote barafu wa moyo wangu?!
wii mie nilikuwa namendea bahati ya kwa kaka
yako figganigga...
Lady doctor au unataka u wii ukufe!!!!!
shansarie naona kama moyo wangu nae unataka kumdondokea kiaina! ila ngoja kwanza nimsikilizie Heaven on earth!TheDealer hebu muone huyu bi dada atakusaidia tatizo lako haraka iwezekanavyo