nimebugi tena meeeen, maana huyu kiwatengu jinsi alivyonikurupusha jana sina hamu tena!
huku utakuwa umedondokea pabaya maana utavunjika kabisa usipoangalia ila kwa matibabu utapata
naona unataka kuwa ka Bishanga nenda kwa Heaven on earth hana mtu sasa kaachika ila unavyo tapatapa sijui kama utampata heleweki
naona unataka kuwa ka Bishanga nenda kwa Heaven on earth hana mtu sasa kaachika ila unavyo tapatapa sijui kama utampata heleweki
Hv Lady doctor na wewe una mupenzi kwan? naoan dalili za moyo wangu kukudondokea, ila sijui itakuaje! samahani lakini!
TheDealer hajajua anataka nini..moyo kudondoka dondoka kwa speed ya ajabu ni ugonjwa gani huo doc?
galoni langu limejaa na sijui lini litapungua,lianitosheleza pande zote so vidumu havina nafasi kabisa
Hv Lady doctor na wewe una mupenzi kwan? naoan dalili za moyo wangu kukudondokea, ila sijui itakuaje! samahani lakini!
huu ni ugonjwa hatari sana, unaosababishwa na virus waitwao Eyes, ambao huingia kwenye ubongo na kusababisha ugonjwa wa cerebral love ambao hupeleka maambukizi mpaka kwenye moyo kupitia blood vessels na kusababisha mishipa ya moyo kuachia na hatimaye moyo kudondoka
Excellent analysis! sasa moyo wangu unaonekana kukudondokea taratiiibu sasa sijui itakuaje tena hapa!huu ni ugonjwa hatari sana, unaosababishwa na virus waitwao Eyes, ambao huingia kwenye ubongo na kusababisha ugonjwa wa cerebral love ambao hupeleka maambukizi mpaka kwenye moyo kupitia blood vessels na kusababisha mishipa ya moyo kuachia na hatimaye moyo kudondoka