Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
We manoah unasema The secretary anataka kufanya nini? Embu rudia nikusikie uzuri.Bishanga waambie warudishe madeni hao watu, hasa sosoliso na Paloma... kachukue na ile gari uliyo muazima Lady doctor.
The secretary kasema anataka kuhamia .................... alafu namuonaga Vin Diesel anakuja nyumbani... sijui kutafuta nini...
- Mungi hajapigwa Ban kweli jamani?
ah ah ah! sosoliso umeisha umia... mwenye Paloma karudi teh teh teh!
- Blue G my kaka wa ukweli naomba uniandikie open barua maana I miss you sana brother......................................
mhhhhhh.................
We manoah unasema The secretary anataka kufanya nini? Embu rudia nikusikie uzuri.
naguna mguno!
ha ha ha haaaa
japo kwa kujilazimisha
anataka kuahmia ile nyumba ya kule bahari beach!
Bwanako unam miss eh? Ulie tu