Shule haifaulishi ila wewe ndio unaefaulu, mi nilisoma hapo nilimaliza PCB 2012, na nikafaulu kizuri ni kuwa ipo pembezoni mwa mji ni rahisi kupiga msuli, but km unatafuta shule inayofaulisha haipo Tanzania,,kufaulu kupo kwako, sema tu mazingira yatakayo kusaidia kufaulu, hayo nafhani yapo!
All the best!