Minaki high school

Minaki high school

vipi kwa sasa minaki anafaulisha kwa upande wa pcb? coz nawish nikasomee apo. naombeni jibu wadau
 
Je Joseph Mbuji na Mrisho Mwerevu a.k.a ZANTA bado wapo?
Nilimaliza f6. 1993 niliishi Shaban Robert.Room Mate wangu alikua Samuel Mashulule Mbise.
Dorm Mate ni John Kazimoto Kamchape a.k.a CHAPE, Bashiry Semvua, Eliasaria Njau, Oroba Kitumbu, Juma Margwe.
Class Mate ni Charles Msisia, Abou Upara, Hassan Rupindo(mfupi) nk
Dah nakumbuka mbali sana. Je bado shule imezingirwa na huo MSITU WA HIFADHI? Au nyumba za raia zimeikaribia shule?
 
Shule haifaulishi ila wewe ndio unaefaulu, mi nilisoma hapo nilimaliza PCB 2012, na nikafaulu kizuri ni kuwa ipo pembezoni mwa mji ni rahisi kupiga msuli, but km unatafuta shule inayofaulisha haipo Tanzania,,kufaulu kupo kwako, sema tu mazingira yatakayo kusaidia kufaulu, hayo nafhani yapo!
All the best!
 
Hakika CHUNGU ni kiongozi wa kuigwa,anawajibika vilivyo,mimi nlisoma enzi za J.J.KAAYA,alikuwa mzee mtata sana,nakumbuka aliwahi kumkurupusha jamaa mmoja ambaye tulikuwa tumemwomba atufundishe chemistry usiku coz kiuklweli things were very hard by that time,namkumbuka madam Bilali a.k.a bambuchaa!!!real proud of MINAKI,KEEP IT UP BROTHER CHUNGU!!!!!
 
Back
Top Bottom