Minaki high school

Minaki high school

"mungu ambarik chungu kwa uongozi mzuri pale bila chungu kwa miaka ya sasa minaki haija kamilika..wanatoa elimu bora pamija na ratba ya chakula ni nzuri sana na wanafunzi wanaishi kwa amani na upendo SHULE YANGU MINAKI SHULE YA TANZANIA IMEELIMISHA WENGI....

kwl kaka chungu namkubal mpka kesho sasa hv n mm najivunia kuw ni msomi kutokana n juhudi zake mungu mbariki chungu amen
 
sitasahau mwaka 2004 niko form six tunafunga shule by that tym tuko parade mwanafunz wa form five comb pgm alijitundika darasan sababu no one knows wakati tunafungua shule kama siku tatu hv our lovely principal paul mjale anafariki kwa stroke it was a sadiest moment in my life at minaki.
 
I was there

Pamoja na neema za minaki mie kwa kipindi nilichosoma advance 1999-2001 sitosahau msimu wa kulima na pia adha ya maji tulivyokuwa tukitolewa class kufata maji dem. Enzi za mjale, mjale hakuwa na makuu ila mwalimu fumbuka na mwalimu fulan ivi white white kama mpale walikuwa wakari sana. Bweni langu lumumba. Minaki naipenda sana ile shule
 
hivi mama kinyogoli bado yupo?kuna kabinti kake pale nyuma ya mnyapala kalikuwa kanahuruma sana!

ha ha ha ha haa dah umenikumbusha mbali sana man kana watoto kama tisa hv baba hawajulikan hata mmoja.
 
Waislam waligoma wakidai wamelishwa kitimoto wakahamishwa.. Nani anamkumbuka hussein kapuya?
 
mzee wa kukompress nambie aiseee

Kwa wote waliokuwa minaki miaka ambayo alikuwa advance watakuwa wanamjua. Pia namkunbuka mwalimu mdada alikuwa kama sikosei anaitwa swai alikuwa na mchina wa ukweli na alikuwa anajiona sana matokeo yake alimenywa na denti akidhani ni kibosile.
 
Hvi mnajua yule alexander kiongozi wa jikoni alimnyoa madan editha yule aliyekuw anafundsha hge mwka huu 4 six
 
Hiii! 2 all minak boyz,mungu barik minak mungu bariki chungu. Vp mnamjua mwl Mtimali
 
Hellow! Form 6 leaver mwk huu ,lete tor za minak ,nimemaliza mwk huu Egm ,vp wadau Alex wa Egm ameenda chuo gan?
 
Pamoja na neema za minaki mie kwa kipindi nilichosoma advance 1999-2001 sitosahau msimu wa kulima na pia adha ya maji tulivyokuwa tukitolewa class kufata maji dem. Enzi za mjale, mjale hakuwa na makuu ila mwalimu fumbuka na mwalimu fulan ivi white white kama mpale walikuwa wakari sana. Bweni langu lumumba. Minaki naipenda sana ile shule

bila shaka ulikuwa a'level, ulikuwa combination gani?
 
Mimi nami nimepita Minako, enzi zile KAMATA inakwenda kule. Nakumbuka sana jinsi KAMATA ilivyokuwa inapata shida ya kupita pale Kinyanyiko! Nakumbuka shida ya Maji.

Namkumbuka Headmaster Mtasigwa, Second master Matu ( na diasater za mkewe alitekuwa mwalimu), na walimu wengine. Namkumbuka Mwalimu Sawaya, ambaye wakati huo walikuwa na TOYOTA STOUT mpya kabisa.

Kiboko zaidi ni yule mmarekani aliyezaa na mke wa mwalimu!

Wakati huo, lami ilikuwa haijafika hata Pugu secondary, yaani magari mengi yalikuwa yanaishia mwisho wa lami!

Hii ilikuwa mwaka 1986-1988!

sasa ikawaje kwa huyo mmarekani baada ya kuzaa na mke wa mwl mwenzake? Huyo mtoto aliendanae amerika?
 
Hiii! 2 all minak boyz,mungu barik minak mungu bariki chungu. Vp mnamjua mwl Mtimali

kumbka sana speech zake zlkuwa znanifanya kufkria elim dunia pia na imenisaidia sana mtimal kama chungu big up sana
 
Enzi za mjale,shehoza,kabahoza,mkwanganyule,semwaiko we acha sio siku hiz mabasi yetu bona baba aaaah nakupenda minaki
Ni shule nzuri kwa enzi zile kwa sasa ina hali mbaya nilisoma hapo kwa six years form one to six chini ya uongozi wa mzee mjale nikiishi mirambo wacha tuishukuru shule yetu minaki
 
Hellow! Form 6 leaver mwk huu ,lete tor za minak ,nimemaliza mwk huu Egm ,vp wadau Alex wa Egm ameenda chuo gan?

jamaa kaenda ardhi economic buildng yupo n tairo kozi moja daah jamaa kumbe alikuw mzma kichwan ingaw alikuw kiraja wa jiko
 
Ivi Mwalimu Sogoi bado yupo?Ngatila Je?Kitambo sana!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom