Mine de copper tanzania

Mine de copper tanzania

Mgombezi

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
610
Reaction score
181
Wana JF

Kuna anayefahamu kampuni inaitwa MINE DE COPPER TANZANIA, inasemekana ofisi zao zipo mikocheni. Tunahitaji kuingia nao mkataba wa biashara bali tuna wasiwasi na uwepo wao, si unajua tena mambo ebusiness. Nimejaribu kufuatilia BRELA napata registration number tu bila details zao nyingine. Nimekuwa nikiwasiliana na mtu mmoja, ambalo limepelekea niwe na mashaka.

Naomba kuwasilisha.
 
bongo dar isalama!hapo wote mmekutana watoto wa mjini, atakeyeingia kichwa kichwa imekula kwake!
 
Inajihusisha na biashara ya aina gani?

wanadai Head office iko Congo na hapa wana office, nafikiri wanajishughulisha na "Copper". Ndiyo maana natafuta kuwafahamu zaidi.
 
Tafuta kwenye internet mkuu, usije ukalizwa
 
Wana JF

Asanteni sana kwa ushirikiano wenu, hawa jamani wanajifanya wamezaliwa mjini; kumbe siku hizi hata huku kijijini hatudanganyiki.
 
Back
Top Bottom