Mgombezi
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 610
- 181
Wana JF
Kuna anayefahamu kampuni inaitwa MINE DE COPPER TANZANIA, inasemekana ofisi zao zipo mikocheni. Tunahitaji kuingia nao mkataba wa biashara bali tuna wasiwasi na uwepo wao, si unajua tena mambo ebusiness. Nimejaribu kufuatilia BRELA napata registration number tu bila details zao nyingine. Nimekuwa nikiwasiliana na mtu mmoja, ambalo limepelekea niwe na mashaka.
Naomba kuwasilisha.