Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Usiwe unalala mapemaKumbe wahindi, wameniamsha nimetoka na kitaulo watatuua na presha kwan mchana walikua wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe unalala mapemaKumbe wahindi, wameniamsha nimetoka na kitaulo watatuua na presha kwan mchana walikua wapi?
Nadhani ni fataki za kilele cha sikukuu za diwaliNiko Manzese nasikia milipuko muda mrefu mnaisikia au masikio yangu tu? mwanzo nilijua radi ila bado inaendelea kuna nini?
Taylor huwa zinakuwa bafuni wewe huwa unalala nayo kitandani?Kumbe wahindi, wameniamsha nimetoka na kitaulo watatuua na presha kwan mchana walikua wapi?
😂😂 Kweli una chuki na taulo la mshikajiTaylor huwa zinakuwa bafuni wewe huwa unalala nayo kitandani?
Ushamba kweli mzigo ungesema umetoka na shuka Walau tungeona ushamba wako una nafuu kidogo .Sababu unatakiwa kuwa na nguo za kulali
Kidume kizima unalalala uchi ukistuliwa na chochote unatoka na Taulo lofa wewe hata shuka huna?
Hata shuka huna unajifunika taulo?
Typical JFTaylor huwa zinakuwa bafuni wewe huwa unalala nayo kitandani?