Mini Cooper countryman 1.6L ALL4 YOM 2012-2015

Mini Cooper countryman 1.6L ALL4 YOM 2012-2015

G777

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2020
Posts
227
Reaction score
604
Habari wakuu!vp kuhusu ABC za hii gari?
Ubora,
Mapungufu,
Upatikanaji wa spea,
Utendaji wake,na kadhalika.
Ahsante na wasilisha.
Screenshot_20220201-085541.jpg
 
Huyu ni ndugu wa damu na BMW
Hapa naoma kama walifanya market strategies tu km anavyofanya mjapan kwa magari kadhaa kuyapa majina tofauti wakati gari ni moja huku akibadili vitu vichache sana but ni gari nzuri but hawashauri sana uchukue yenye gear box ya Cvt zinazingua sana jitahidi uchukue DSG japo ina gharama katika matunzo ila ukizingatia utavimba nayo sana
 
Ahsante Sana Mkuu.
 
Kwanini usingechukua 2.0l? Naona 1.6l ndogo sana to do the heavy work.
Haina shaka Mimi nilitoa tu yenye spec's hizo tu kupata maoni Kama ushauri wako Sasa pia ni mzuri zaidi umenishauri nitoke kwny 1.6L -2.0L
 
Back
Top Bottom