Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu!vp kuhusu ABC za hii gari?
Ubora,
Mapungufu,
Upatikanaji wa spea,
Utendaji wake,na kadhalika.
Ahsante na wasilisha.View attachment 2103759
Hapa naoma kama walifanya market strategies tu km anavyofanya mjapan kwa magari kadhaa kuyapa majina tofauti wakati gari ni moja huku akibadili vitu vichache sana but ni gari nzuri but hawashauri sana uchukue yenye gear box ya Cvt zinazingua sana jitahidi uchukue DSG japo ina gharama katika matunzo ila ukizingatia utavimba nayo sanaHuyu ni ndugu wa damu na BMW
Ahsante Sana Mkuu.Hapa naoma kama walifanya market strategies tu km anavyofanya mjapan kwa magari kadhaa kuyapa majina tofauti wakati gari ni moja huku akibadili vitu vichache sana but ni gari nzuri but hawashauri sana uchukue yenye gear box ya Cvt zinazingua sana jitahidi uchukue DSG japo ina gharama katika matunzo ila ukizingatia utavimba nayo sana