Mini Cooper msizichukulie poa kama IST!

Mini Cooper msizichukulie poa kama IST!

Wakuu hizi mini coopers msizichukulie poa mkadhani Ni size ya IST sijui Vitz zenu. Mzungu Katia Mini Cooper 5 door (2022) speed 260kph ni motoooo. Bei inakimbizana na SUV zenu mnazovimba nazo Kidimbwi.

Ajabu hakuna Celebrity bongo anayetamba na chuma design hii. Zaidi ya Noah na Alphard Kama wanauza vyombo vya jikoni.
View attachment 2715878View attachment 2715879View attachment 2715880
wenzio wanakwambia hizo ni gari za jicho, mashoga. mimi tangu nisikie hivyo huwa sipendi hata kuziangalia.
 
Back
Top Bottom