Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,117
- 1,403
Hiki Chuma Tairi yake Moja inagharimu dolla 25000 engine ni HP (horse power ) 10000 ndani Ina apartment you got everything in there watu wankula maisha nyie [emoji857]Bongo gari hamna acheni Mbwembwe
Hili si toroli jamani? Masihala hayaWatu wanatuliza vichwa sio kama wanaoitwa wasomi uchwara.
View attachment 2715882
Hahaaa anaviita baby DunguChris lukos anaziuzaga million 11 yani hapo pamoja na ushuru.
Bei imesimamaGari zitoazo Moshi na zilitembelea Mileage kubwa in short bongo ni dampo ya magari machafu kutoka njee
wenzio wanakwambia hizo ni gari za jicho, mashoga. mimi tangu nisikie hivyo huwa sipendi hata kuziangalia.Wakuu hizi mini coopers msizichukulie poa mkadhani Ni size ya IST sijui Vitz zenu. Mzungu Katia Mini Cooper 5 door (2022) speed 260kph ni motoooo. Bei inakimbizana na SUV zenu mnazovimba nazo Kidimbwi.
Ajabu hakuna Celebrity bongo anayetamba na chuma design hii. Zaidi ya Noah na Alphard Kama wanauza vyombo vya jikoni.
View attachment 2715878View attachment 2715879View attachment 2715880