INAUZWA Mini Drones kwa bei nafuu

Mkuu sheria za TANAPA zinakuhitaji kurusha drone hifadhini ni lazima uwe na afisa kutoka JWTZ no matter what. Je mimi nikinunua hiyo na nikatamani kwenda nayo kutalii nikapige picha na kurecord videos itakuwaje.
Kurusha drones kwenye sehemu kama hiyo unahitaji kibali lakini kwenye maeneo ambayo hayahitaji vibali hapo unaweza kurusha bila restrictions zozote


Ni kama tu mtu anayehitaji kupumzika unaweza kwenda kulala mtaroni na hamna mtu atakayekwambia ulipie kulala hapo

Lakini ukitaka kwenda kulala hotelini lazima ulipie

Nadhani point yangu imeeleweka
 
Jipatie Mini Drone upae angani kwa bei nafuu

Drone ina Sifa zifuatazo

Drone ni ya kuchaji

Inaenda umbali wa meter 200

Drone ina Camera

Unaweza kuunganisha camera ya Drone na wifi ya simu yako na ukarekodii videos na picha(App controlled FPV)

Anatumia mtu wa umri wowote

Kumiliki Drone hii hauhitaji kibali kutoka Mamlaka ya Anga Tanzania

Drone inakuja vitu vifuatavyo

Original Box
Remote control
Batteries
USB Cable
Extra propellers
Screw Driver
Propellers protectors

Operating instructions

Price:
E99 K3 PRO 220,000/=
MINI S65 with camera 180,000/=
MINI S65(No camera)130,000/=

Tunapatikana Tabata Dar es salaam

Tunafanya delivery popote Tanzania

Call/Whatsapp:0764108259

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…