Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
- Thread starter
- #61
Kurusha drones kwenye sehemu kama hiyo unahitaji kibali lakini kwenye maeneo ambayo hayahitaji vibali hapo unaweza kurusha bila restrictions zozoteMkuu sheria za TANAPA zinakuhitaji kurusha drone hifadhini ni lazima uwe na afisa kutoka JWTZ no matter what. Je mimi nikinunua hiyo na nikatamani kwenda nayo kutalii nikapige picha na kurecord videos itakuwaje.
Ni kama tu mtu anayehitaji kupumzika unaweza kwenda kulala mtaroni na hamna mtu atakayekwambia ulipie kulala hapo
Lakini ukitaka kwenda kulala hotelini lazima ulipie
Nadhani point yangu imeeleweka