Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
- Thread starter
- #21
Soma hapo juu labda hujaelewamatumizi ya drones yanahitaji vibali (sio kimoja), je hivo vingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma hapo juu labda hujaelewamatumizi ya drones yanahitaji vibali (sio kimoja), je hivo vingine?
Nimeelewa sana kuhusu uzito wa hizo drones na mimi nikaulizia kuhusu hivyo vibali vingine (siyo kimoja kinachohitajika)Soma hapo juu labda hujaelewa
Umeona hapoNimeelewa sana kuhusu uzito wa hizo drones na mimi nikaulizia kuhusu hivyo vibali vingine (siyo kimoja kinachohitajika)
Vipi wenye infinix smart 6 nazo zitawafaa?
Ina support device zoteVipi wenye infinix smart 6 nazo zitawafaa?
Haha hairuhusiwi mkuuNki ipaisha juu ya kambi ya jeshi vp
hahahahaNki ipaisha juu ya kambi ya jeshi vp
Gram 59 unazijua?Hauhutaji vibali kwa sababu sheria za TCAA zinatoa vibali kwa drone zinazoanzia na uzito kwa Kg 7 na kuendelea
Drone yetu ina uzito wa Gram 59 ikiwa yenyewe na ikiwa kwenye storage bag total weight ni 269 grams so hauhitaji kibali
Naomba nikueleweshe kuwa hii ni mini drone sio mid size wala large ni MINI DRONEGram 59 unazijua?
Kwamba hio drone na dawa ya mswaki ya buku mbili hio dawa ya mswaki Ni nzito kuliko drone?
Hizo mota tu pichani Zina zaidi ya huo uzito , Bado battery ,body lake etc, angalia data vizuri other wise sio picha halisi ya unachouza