INAUZWA Mini Drones kwa bei nafuu

INAUZWA Mini Drones kwa bei nafuu

-1089866802-1155720939.jpg
 
"Kumiliki Drone hii hauhitaji kibali kutoka Mamlaka ya Anga Tanzania"


Wazee wa nchi walibadili sheria au vip???
 
"Kumiliki Drone hii hauhitaji kibali kutoka Mamlaka ya Anga Tanzania"


Wazee wa nchi walibadili sheria au vip???
Kibali ni kwa ajili ya drones zenye uzito wa kg 7 na kuendelea

Hizi zangu zina uzito wa Gram 59 na ikiwa kwenye storage bag na accessories zake inakua na Gram 259
 
Jipatie Drone upae angani kwa bei nafuu

Drone ina Sifa zifuatazo


Drone ni ya kuchaji

Inaenda umbali wa meter 200

Drone ina Camera

Unaweza kuunganisha camera ya Drone na wifi ya simu yako na ukarekodii videos na picha(App controlled FPV)

Anatumia mtu wa umri wowote

Kumiliki Drone hii hauhitaji kibali kutoka Mamlaka ya Anga Tanzania

Drone inakuja vitu vifuatavyo

Original Box
Remote control
Batteries
USB Cable
Extra propellers
Screw Driver
Propellers protectors

Operating instructions

Price:170,000/=

Tunapatikana Tabata Dar es salaam

Tunafanya delivery popote Tanzania [emoji1241]

Call/Whatsapp;0764108259


View attachment 2469957
hh
 
Hauhutaji vibali kwa sababu sheria za TCAA zinatoa vibali kwa drone zinazoanzia na uzito kwa Kg 7 na kuendelea

Drone yetu ina uzito wa Gram 59 ikiwa yenyewe na ikiwa kwenye storage bag total weight ni 269 grams so hauhitaji kibali
Twilumba
 
Nashukuru nimeona hata hivyo ni comment No. 17 sio No. 18. Nashukuru kwa jawabu hata hvy unaonaje ungeweka sehemu ya kipengele cha TCAA ambacho kina exclude drone yetu kwa rejea na uhakika wa mnunuzi! Asante
Nadhani nimeshakutag hapo juu kwenye picha ina maelezo pia
 
Kumiliki Drone hii hauhitaji kibali kutoka Mamlaka ya Anga Tanzania -

Siyo kweli...
 
2023 E99 mini Drone

Available at 150,000/= only

Drone ina Sifa zifuatazo

Drone ni ya kuchaji

Inaenda umbali wa meter 200

Drone ina Camera

Unaweza kuunganisha camera ya Drone na wifi ya simu yako na ukarekodii videos na picha(App controlled FPV)

Anatumia mtu wa umri wowote

Kumiliki Drone hii hauhitaji kibali kutoka Mamlaka ya Anga Tanzania

Drone inakuja vitu vifuatavyo

Original Bag
Remote control
Batteries
USB Cable
Extra propellers
Screw Driver
Propellers protectors
Operating manual

Tunafanya delivery popote Tanzania

Call/Whatsapp: 0757187238

1305303461-2032397180.jpg


Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom