Mining ni pesa isiyo na jasho

Nakazia na umeme uwe 24/7. Ova
 
Lakin fx ni kusim chako tu na akili na mtaji
 
Change ur mindset.. kuna mambo yanawaingizia watu pesa kiasi kwamba ukiambiwa unaweza mcheka anaye kwambia.. #tuwewadadisi
Sawa mkuu.. nenda inbox, lakini kumbuka kitu kimoja tu "ukiitwa kwenye fursa ujue wewe ndio fursa yenyewe"
 


Yamekuwa tena mambo ya inbox ??!🤣
 
nimeishia hapa, $%^&(&&^%% wewe, unajua ni resources zipi inabidi uwe nazo mpaka uanze fanya mining ?
au utumie simu ku mine , na kutengeneza dollari 0.00001 kila siku siyo
Jamaa anadhani Uwekezaji wa coin mining ni kam freelance writing
 
Unataka kufanya mining nenda Geita, nenda Kahama, nenda Chunya, nenda Mara. Hizo mining zingine mtalia sio muda. Hakuna hela rahisi
 
Zipo mining unafanya kwa simu yako sasahv hv kaka. Teknolojia imekua
 
Kwa sasa mfano kumine bitcoin bila minning plant na jinsi ya kupata umeme wa bei rahisi gharama za umeme zitazidi unachopata. Ndio maana miners wengi ama ni wezi wa umeme, au wamefunga mifumo ya uchimbaji na wanazalisha umeme kutumia m

Nakazia na umeme uwe 24/7. Ova
Sio lazima umine bitcoin, zipo coin nyng unamine kwenye sim yako kwa urahis kbsa, na Zina faida pia
 
Hivi ukiacha Pie coinkuna nyingine ya ku mine?
Na vipi Sidra ishaingia sokoni?
 
Kuna mtu nilishawahi kumwambia kuwa siku nikianza kuishi kwenye apartments zenye internet naweka rig kwa ajili ya mining kisha natulia zangu na shughuli zingine.
 
FOREX INA KAUSHS HELA ZA WATU BALAAAAAA YAAANI NDANI YA SAA MOJA MILLIONI MBILI ZIMEKAUSHWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…