Mining ni pesa isiyo na jasho

Mining ni pesa isiyo na jasho

Mkuu hizo GPU card uwezo wa kuzinunua tunao kweli, maana GPU moja ya kusupport mining ni kati ya tsh400,000 na ili uone faida zinatakiwa zaid ya 3, yan had umekamilisha mining rig unajikuta ume invest kama 4milion, hapo bado pc yenye processing power kubwa...... SO MINING SIO PESA YA BURE TU KAMA UNAVYOIELEZEA.... ni investment..
Nakazia na umeme uwe 24/7. Ova
 
Lakin fx ni kusim chako tu na akili na mtaji
 
Jamani watanzania tuamke Dunia inaenda mbio sana ....kama utang'ang'ana na biashara moja hakika kilio kwako kiuchumi kitakusonga hivyo jifunze kujivunia pesa mtandaoni kama wenzako wanavyofanya...

Kwanini bando lako liwe la kufacebuka tuu na kuwasapika tuu bila kuingiza hata mia ...

Shituka ingia Dunia ya wapambanaji ujue walau kuingiza hata $50 tu ya mdhungu.😁

Kuna pesa nyingi mtandaoni lakini Anza na hizi ambazo huwekezi hata mia yako mtandaoni...Mining, Freelancing, gathering coin nk

Ukishakuwa mwenyeji mtandaoni ndio jiingize kwa hao Forex na wengineo....

Huku kunavitu vingi vya kufanya na kujiingizia pesa kikubwa ni kumpata mtu sahihi na asiye na tamaa ya kukuomba pesa akuelekeze...

Vijana changamka pesa ya mtandao ipooo👌Wakenya wanapiga pesa, Nigerian, Uganda na nchi za west kwanini sisi Tuwe mikia Kila sehemu🥴

Ni hayoo tuu niloyaleta Leo kama utahitaji kujua usisite kuniinbox 🙏

Yamekuwa tena mambo ya inbox ??!🤣
 
nimeishia hapa, $%^&(&&^%% wewe, unajua ni resources zipi inabidi uwe nazo mpaka uanze fanya mining ?
au utumie simu ku mine , na kutengeneza dollari 0.00001 kila siku siyo
Jamaa anadhani Uwekezaji wa coin mining ni kam freelance writing
 
Unataka kufanya mining nenda Geita, nenda Kahama, nenda Chunya, nenda Mara. Hizo mining zingine mtalia sio muda. Hakuna hela rahisi
 
Mkuu hizo GPU card uwezo wa kuzinunua tunao kweli, maana GPU moja ya kusupport mining ni kati ya tsh400,000 na ili uone faida zinatakiwa zaid ya 3, yan had umekamilisha mining rig unajikuta ume invest kama 4milion, hapo bado pc yenye processing power kubwa...... SO MINING SIO PESA YA BURE TU KAMA UNAVYOIELEZEA.... ni investment..
Zipo mining unafanya kwa simu yako sasahv hv kaka. Teknolojia imekua
 
Kwa sasa mfano kumine bitcoin bila minning plant na jinsi ya kupata umeme wa bei rahisi gharama za umeme zitazidi unachopata. Ndio maana miners wengi ama ni wezi wa umeme, au wamefunga mifumo ya uchimbaji na wanazalisha umeme kutumia m

Nakazia na umeme uwe 24/7. Ova
Sio lazima umine bitcoin, zipo coin nyng unamine kwenye sim yako kwa urahis kbsa, na Zina faida pia
 
Hivi ukiacha Pie coinkuna nyingine ya ku mine?
Na vipi Sidra ishaingia sokoni?
 
Mkuu hizo GPU card uwezo wa kuzinunua tunao kweli, maana GPU moja ya kusupport mining ni kati ya tsh400,000 na ili uone faida zinatakiwa zaid ya 3, yan had umekamilisha mining rig unajikuta ume invest kama 4milion, hapo bado pc yenye processing power kubwa...... SO MINING SIO PESA YA BURE TU KAMA UNAVYOIELEZEA.... ni investment..
Kuna mtu nilishawahi kumwambia kuwa siku nikianza kuishi kwenye apartments zenye internet naweka rig kwa ajili ya mining kisha natulia zangu na shughuli zingine.
 
FOREX INA KAUSHS HELA ZA WATU BALAAAAAA YAAANI NDANI YA SAA MOJA MILLIONI MBILI ZIMEKAUSHWA
 
Back
Top Bottom