Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu

Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu

Daah wanatumia gari la gharama kufanyia umafia kweli hao mamafia...ila hao jamaa waruhusiwe tu kupita wakiwa na vibali vyao tusiwasikilize USA kwa kuendelea kuwaumiza Waafrika wenzetu..
 
Daah wanatumia gari la gharama kufanyia umafia kweli hao mamafia...ila hao jamaa waruhusiwe tu kupita wakiwa na vibali vyao tusiwasikilize USA kwa kuendelea kuwaumiza Waafrika wenzetu..
Msomali kutoa dollar5000 kwa kichwa kuvushwa tu ni kawaida..kuna msomali alitumia dollar8000 kufika SA tu
 
Msomali kutoa dollar5000 kwa kichwa kuvushwa tu ni kawaida..kuna msomali alitumia dollar8000 kufika SA tu
Ni kweli unachosema inawezekana ila haw wa malundo hawa wengi wao wanajichanga kidogo kidogo kwa kutumia wakala wao na wakifika kwenye Road block hao Wazee wanakua na imani kama yako kuwa kila mtu katoa hela nyingi zingine waziache hapa msafirishaji akitoa kidogo wanamgomea na kutokea kama hivyo...
 
Mtu hawezi kutoa rehani gari ya mil200 kusafirisha hao raia bila maslahi...hiyo biashara ni noma pesa ni nyingi sana hapo kila mtu katoa sio chini ya dola3000 piga kwa watu 20..ndio utajua hiyo v8 haina thamani maana akipiga safari mbili tu imerudi.
 
Brother nipo chuga wasomali wapo huko mtaani kibao hawatoi hiyo pesa ni vile watu wanachukua hela yeyote ili mradi maisha yaende na pia hakuna gari la thamani hiyo hapo tungekua matajiri yaani ukiwa na V 8 tu ni Tsh 200m daah...hizi hadithi zenu ndio zinawafanya watu wengi waamini ni biashara ambayo ina pesa nyingi sana wakati anaechukua pesa nyingi kwa hawa malundo kabaki Namanga au Nairobi...
 
Comment ya namna hii nilitegemea kuiona, mtu ameamua kupata utajiri kwa njia yoyote lkn kuna wapuuzi wameamua kujitoa akili kila muda n kuilaumu ccm tuu.
Hebu tulia kidogo na uwaze kama binadamu;Kwa nini hawaweki bendera ya CHAUMA,CHAUSTA,UPDP,NLD au CUF?Tafuta jibu kwa utulivu na wala usitaharuki.
 
Kwa sababu sio vyama vinavyoongoza serikali, vingkuwa inaongozwa serikali bc wangetumia bendera zao.
Unajua kuna;-
-kupiga mbinja,
-kupiga mbio,
-kupiga mwayo,
-kupiga chafya nk.
Wewe hapo unapiga mbio kutoka kwenye jibu na kujielekeza kwenye jipu.Sababu ni ipi hasa hadi watumie bendera ya CCM?
 
Black market inapesa ila ndiyo hivyo tena ukiingia kwenye 18 unaliwa kichwa.
Na hutasikia hizi gari zimetaifishwa, maana hakuna masikini anayefanya human traficking, biashara za wakubwa hizi. We jiulize, mhamiaji toka Ethiopia anakamatiwaje Mbeya ama Songwe? Kapita njia zipi ilhali barabara zote kuu zina vizuiizi na ukaguzi wa maana?
 
kuna biashara hazitaki tamaa......tatizo pesa ni tamu.....unatakiwa unapiga once.....you done......bei zikoje wahenga@kichwa
 
Back
Top Bottom