Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu

Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu

CCM !
 

Attachments

  • IMG-20240409-WA0023.jpg
    IMG-20240409-WA0023.jpg
    70 KB · Views: 2
Ni kweli unachosema inawezekana ila haw wa malundo hawa wengi wao wanajichanga kidogo kidogo kwa kutumia wakala wao na wakifika kwenye Road block hao Wazee wanakua na imani kama yako kuwa kila mtu katoa hela nyingi zingine waziache hapa msafirishaji akitoa kidogo wanamgomea na kutokea kama hivyo...
huo mchongo wamechomana tu mzee hizo mishe zinapigwa kitambo sana hujiulizi kwanini ndani ya miezi miwili gari zimekamatwa zaidi ya nne? sema inaonekana kumetokea conflict kati ya hao wafanya biashara so wanachomana wao kwa wao..manjagu hawana ujasiri wa kusimamisha gari za serikali hata siku moja sema wanachomana wao kwa wao
 
Brother nipo chuga wasomali wapo huko mtaani kibao hawatoi hiyo pesa ni vile watu wanachukua hela yeyote ili mradi maisha yaende na pia hakuna gari la thamani hiyo hapo tungekua matajiri yaani ukiwa na V 8 tu ni Tsh 200m daah...hizi hadithi zenu ndio zinawafanya watu wengi waamini ni biashara ambayo ina pesa nyingi sana wakati anaechukua pesa nyingi kwa hawa malundo kabaki Namanga au Nairobi...
Hiyo v8 iliyokamatwa gharama za kuinunua na kodi haishuki 200 mzee labda ununue mtumba...niliwahi kupanda basi na msomali safari ya SA jamaa alitoa dollar5000 mpaka kufika SA.. so hawa jamaa wanatoka kwao wamejipanga..na wakifika SA wamejipanga kweli yaani mtu anafika leo baada ya wiki anafungua duka la rand20000 ni kawaida yao..
 
Back
Top Bottom