King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Siamini mamlaka ni mchezo kutupotezea ionekane pia lile Gari la CCM sumu ya Nyigu alilipua hadharani ni bandia.
Cc King Kong III
Hadi 10mil.....sasa ukue jinsi kuruka viunzi maana police kwao ni deal kubwaaaaa......arusha dodoma iringa mbeya....Bei zipoje kichwa kimoja? Naona watu wanajilipua tu
Msomali kutoa dollar5000 kwa kichwa kuvushwa tu ni kawaida..kuna msomali alitumia dollar8000 kufika SA tuDaah wanatumia gari la gharama kufanyia umafia kweli hao mamafia...ila hao jamaa waruhusiwe tu kupita wakiwa na vibali vyao tusiwasikilize USA kwa kuendelea kuwaumiza Waafrika wenzetu..
Ni kweli unachosema inawezekana ila haw wa malundo hawa wengi wao wanajichanga kidogo kidogo kwa kutumia wakala wao na wakifika kwenye Road block hao Wazee wanakua na imani kama yako kuwa kila mtu katoa hela nyingi zingine waziache hapa msafirishaji akitoa kidogo wanamgomea na kutokea kama hivyo...Msomali kutoa dollar5000 kwa kichwa kuvushwa tu ni kawaida..kuna msomali alitumia dollar8000 kufika SA tu
Mtu hawezi kutoa rehani gari ya mil200 kusafirisha hao raia bila maslahi...hiyo biashara ni noma pesa ni nyingi sana hapo kila mtu katoa sio chini ya dola3000 piga kwa watu 20..ndio utajua hiyo v8 haina thamani maana akipiga safari mbili tu imerudi.Ni kweli unachosema inawezekana ila haw wa malundo hawa wengi wao wanajichanga kidogo kidogo kwa kutumia wakala wao na wakifika kwenye Road block hao Wazee wanakua na imani kama yako kuwa kila mtu katoa hela nyingi zingine waziache hapa msafirishaji akitoa kidogo wanamgomea na kutokea kama hivyo...
Comment ya namna hii nilitegemea kuiona, mtu ameamua kupata utajiri kwa njia yoyote lkn kuna wapuuzi wameamua kujitoa akili kila muda n kuilaumu ccm tuu.Halafu useme wapuuzi waache kujinasibisha na CCM?All the sources of evils is CCM!
Brother nipo chuga wasomali wapo huko mtaani kibao hawatoi hiyo pesa ni vile watu wanachukua hela yeyote ili mradi maisha yaende na pia hakuna gari la thamani hiyo hapo tungekua matajiri yaani ukiwa na V 8 tu ni Tsh 200m daah...hizi hadithi zenu ndio zinawafanya watu wengi waamini ni biashara ambayo ina pesa nyingi sana wakati anaechukua pesa nyingi kwa hawa malundo kabaki Namanga au Nairobi...Mtu hawezi kutoa rehani gari ya mil200 kusafirisha hao raia bila maslahi...hiyo biashara ni noma pesa ni nyingi sana hapo kila mtu katoa sio chini ya dola3000 piga kwa watu 20..ndio utajua hiyo v8 haina thamani maana akipiga safari mbili tu imerudi.
Hapo hakuna kesi, ishu itamalizwa kimya kimya, kwa utawala huu wa samia, ni ufisadi kwenda mbeleBlack market inapesa ila ndiyo hivyo tena ukiingia kwenye 18 unaliwa kichwa.
Hebu tulia kidogo na uwaze kama binadamu;Kwa nini hawaweki bendera ya CHAUMA,CHAUSTA,UPDP,NLD au CUF?Tafuta jibu kwa utulivu na wala usitaharuki.Comment ya namna hii nilitegemea kuiona, mtu ameamua kupata utajiri kwa njia yoyote lkn kuna wapuuzi wameamua kujitoa akili kila muda n kuilaumu ccm tuu.
Kwa sababu sio vyama vinavyoongoza serikali, vingkuwa inaongozwa serikali bc wangetumia bendera zao.Hebu tulia kidogo na uwaze kama binadamu;Kwa nini hawaweki bendera ya CHAUMA,CHAUSTA,UPDP,NLD au CUF?Tafuta jibu kwa utulivu na wala usitaharuki.
Unajua kuna;-Kwa sababu sio vyama vinavyoongoza serikali, vingkuwa inaongozwa serikali bc wangetumia bendera zao.
Na hutasikia hizi gari zimetaifishwa, maana hakuna masikini anayefanya human traficking, biashara za wakubwa hizi. We jiulize, mhamiaji toka Ethiopia anakamatiwaje Mbeya ama Songwe? Kapita njia zipi ilhali barabara zote kuu zina vizuiizi na ukaguzi wa maana?Black market inapesa ila ndiyo hivyo tena ukiingia kwenye 18 unaliwa kichwa.
Hatari sana
Kuuliza si Ujinga huu mgongo ni wako au ...Hatari sana
Machoni itakuwa hivyo lkn uhalisia siyo hivyo.Litataifishwa?