Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu

huo mchongo wamechomana tu mzee hizo mishe zinapigwa kitambo sana hujiulizi kwanini ndani ya miezi miwili gari zimekamatwa zaidi ya nne? sema inaonekana kumetokea conflict kati ya hao wafanya biashara so wanachomana wao kwa wao..manjagu hawana ujasiri wa kusimamisha gari za serikali hata siku moja sema wanachomana wao kwa wao
 
Hiyo v8 iliyokamatwa gharama za kuinunua na kodi haishuki 200 mzee labda ununue mtumba...niliwahi kupanda basi na msomali safari ya SA jamaa alitoa dollar5000 mpaka kufika SA.. so hawa jamaa wanatoka kwao wamejipanga..na wakifika SA wamejipanga kweli yaani mtu anafika leo baada ya wiki anafungua duka la rand20000 ni kawaida yao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…