- Thread starter
- #21
Hivi Kalamagamba Kabugi ana hali gani?
Huyu ndiye aliyekuwa wakili msomi wao hadi kwenye Hard Talk, BBC.
Kwamba angalimo pia kwenye awamu ya sita?!
Wajameni, are these people principled? Oh, no! It can't be!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Kalamagamba Kabugi ana hali gani?
Bashiru aliisaliti taaluma yake kisa ni njaa. Sidhani kama anaweza kutoa mhadhara wa kisomi na akaeleweka leo kama zamani. From critical thinker to compromise thinker!
Na hiyo ndio fallacy ya Magufuli.kuna watu walikuwa wanaserereka tu utafikiri wamepanda treni ya mwendokasi, leo katibu mkuu wa chama, kesho katibu mkuu kiongozi utafikiri nchi ilikuwa mali yao binafsi..
Watu wa chadema mtadema saana ya bashiru na polepole yako juu ya uwezo wenu,Mabibi na mabwana kwa yanayotokea huko CCM kwa wengine kina sisi, hayo ni mambo ya Ngoswe.
Hata hivyo kama binadamu ambapo wengine huwa hawana huruma, wengine tumeumbiwa na roho za huruma. Ashukuriwe mola muweza wa yote.
Ni ukweli ulio wazi kuwa mh. Dr. Bashiru, Pole pole na vigogo wengine mliokuwa vinara kwenye awamu ile, tokea kuondoka kwa mwendazake kama mlikuwa hamjui, tathmini ya utendaji wenu na hata kukubalika kwenu katika jamii ndiyo hii mnayoiona sasa.
Bila ya shaka mtakuwa sasa mmejielewa vyema na pasi na shaka yoyote. Kwamba sasa mambo ni hadharani. Hakuna cha unafiki wala nini. Hii ni timamu kabisa ndani na nje ya CCM. Ukweli mchungu:
"Ni wazi kuwa hamkuwa mkipendwa wala kukubalika kwenye chama wala katika jamii. Mlikuwa wababe mliopitiliza, mliokuwa mmejisahau. Hamkuukumbuka hata ule usemi wa kuwa - Dunia Mapito."
Kwani ni lini basi mwenye macho alisubiri kuambiwa tazama? Au ni lini afukuzwaye aliwahi kuambiwa toka? Labda kama ni mgeni na imegonga hadi siku ya kumi!
Ukweli mchungu zaidi ni kuwa, enyi machampioni kabisa wa awamu ile katika serikali na katika CCM, hamkuwa mkikubalika kabisa, kiasi kuwa katu hamuwezi kutosha tena kwenye awamu ya sita.
"Ni vipi awaye yote aweze kuwa rafiki wa Mungu na Shetani kwa wakati mmoja? Hii ndiyo changamoto ya wazi inayowakumba sasa."
Si mnamwona wanayemwita katelefoni anavyokuwa kama kanyeshewa mvua?
Muda wa kutumia busara zenu za kisomi ulikuwa sasa kwa kujiengua wenyewe kwa maslahi ya nchi na chama hiki, kama kweli mlivipenda.
Zaidi sana kama kweli mnadhani mliyokuwa mnayasimamia kwenye awamu ya ile yalikuwa sahihi, bora mngefikiria kuanzisha hata chama chenu cha siasa chenye agenda hizo mkapata kuendelea kuzipambania.
Wakuu, kunyong'ong'onyezwa hivi mpaka mnatia huruma hadi lini? Hamjionei huruma wenyewe? Hata hamshauriani wenyewe kwa wenyewe?
View attachment 1771352
Mbona mko wengi wa kutosha mkisheheni hadi maaskofu wafufua wafu kwenye hilo ambalo leo linaitwa kuwa, ni genge lenu?
Mh. Dkt Bashiru, pole pole na timu yenu, mbona kuvunjika kwa koleo si mwisho wa uhunzi?
Wapiganaji wanasema "Aluta Continua." Kazi inapoendelea, hebu mapambano na yakaendelee!
Ninawasilisha.
sorry si mshabiki wa vyama vya siasa.Watu wa chadema mtadema saana ya bashiru na polepole yakobjuu ya uwezo wenu,
Manawaonea wivu tu lakini wao wanachapa kazinkupitia nafasi zao na michango yao kwa taifa ni mikubwa.
Ila mlioathirika na nguvu yao wakiwa viongozi wa chama mtateseka saana na wale wa upinzani kilichowakuta kwenye uchaguzi matalia saana siku zote laikini hakuna namna.
Kwa wale wa ndani ya chama kama wana ubavu na yale walioyaona walitendewa vibaya basi tokeni hadhalani mtoe maoni yenu ili mpate haki yenu, na ndo mtajua wananchi kama tunawahitaji au laa.
Msijifiche nyuma ya keyboard huku tunajua mlikuwa mafisadi.
Weka mchango wa Bashiru na Polepole kwenye hizo kazi wanazo chapa kwa sasa.Watu wa chadema mtadema saana ya bashiru na polepole yakobjuu ya uwezo wenu,
Manawaonea wivu tu lakini wao wanachapa kazinkupitia nafasi zao na michango yao kwa taifa ni mikubwa.
Ila mlioathirika na nguvu yao wakiwa viongozi wa chama mtateseka saana na wale wa upinzani kilichowakuta kwenye uchaguzi matalia saana siku zote laikini hakuna namna.
Kwa wale wa ndani ya chama kama wana ubavu na yale walioyaona walitendewa vibaya basi tokeni hadhalani mtoe maoni yenu ili mpate haki yenu, na ndo mtajua wananchi kama tunawahitaji au laa.
Msijifiche nyuma ya keyboard huku tunajua mlikuwa mafisadi.
there is no going back. the moment alipo amua kusaliti taaluma na kutumika kisasiasa.. ndipo alijivuruga.Bashiru aliisaliti taaluma yake kisa ni njaa. Sidhani kama anaweza kutoa mhadhara wa kisomi na akaeleweka leo kama zamani. From critical thinker to compromise thinker!
Polepole alikua matawi ya juuHivi adui wa chadema ni Magufuli, Polepole na Bashiru au ccm?
CCMHivi adui wa chadema ni Magufuli, Polepole na Bashiru au ccm?
Watu wa chadema mtadema saana ya bashiru na polepole yakobjuu ya uwezo wenu,
Manawaonea wivu tu lakini wao wanachapa kazinkupitia nafasi zao na michango yao kwa taifa ni mikubwa.
Ila mlioathirika na nguvu yao wakiwa viongozi wa chama mtateseka saana na wale wa upinzani kilichowakuta kwenye uchaguzi matalia saana siku zote laikini hakuna namna.
Kwa wale wa ndani ya chama kama wana ubavu na yale walioyaona walitendewa vibaya basi tokeni hadhalani mtoe maoni yenu ili mpate haki yenu, na ndo mtajua wananchi kama tunawahitaji au laa.
Msijifiche nyuma ya keyboard huku tunajua mlikuwa mafisadi.
Na njaa walizonazo wataishije?Ni wazi wanatakiwa wajiuzulu
Na njaa walizonazo wataishije?
Hivi adui wa chadema ni Magufuli, Polepole na Bashiru au ccm?
kuna watu walikuwa wanaserereka tu utafikiri wamepanda treni ya mwendokasi, leo katibu mkuu wa chama, kesho katibu mkuu kiongozi utafikiri nchi ilikuwa mali yao binafsi..
Magufuli ni sawa na shetani +Hivi adui wa chadema ni Magufuli, Polepole na Bashiru au ccm?
Sasa waishi kama mashetani....let by gone be gone?
Hawa watu na huyo Meko wao, walidhani hii nchi ni mali yao. Walizidisha majivuno, kibri, na udhalimu dhidi ya watanzania. Hawa wanastahili kunyongwa mpaka wafe.