Minyukano CCM: Ushauri wa bure kwa Bashiru na wenzako kokote kule mliko

Bashiru aliisaliti taaluma yake kisa ni njaa. Sidhani kama anaweza kutoa mhadhara wa kisomi na akaeleweka leo kama zamani. From critical thinker to compromise thinker!

Msomi kuendekeza njaa hivi ni kuwapa hadi kina msukuma kuwakosea adabu wasomi wote hadharani.

Huku ni kuidhalilisha fraternity yote ya wasomi.

Kuna haja ya jumuiya ya wasomi kuwa kana hadharani watu kama hawa.

Hiiiiii bagosha!
 
kuna watu walikuwa wanaserereka tu utafikiri wamepanda treni ya mwendokasi, leo katibu mkuu wa chama, kesho katibu mkuu kiongozi utafikiri nchi ilikuwa mali yao binafsi..
Na hiyo ndio fallacy ya Magufuli.
Katibu Mkuu wa chama(asiyependwa) inashangaza sana ati kuteuliwa kuwa Civil Servant No1, mtu ambaye si tu hana uzoefu wowote bali hana idea juu ya kazi za Katibu Mkuu katika wizara yoyote.
 
Watu wa chadema mtadema saana ya bashiru na polepole yako juu ya uwezo wenu,
Manawaonea wivu tu lakini wao wanachapa kazi kupitia nafasi zao na michango yao kwa taifa ni mikubwa.

Ila mlioathirika na nguvu yao wakiwa viongozi wa chama mtateseka saana na wale wa upinzani kilichowakuta kwenye uchaguzi mtalialia saana siku zote laikini hakuna namna.
Kwa wale wa ndani ya chama kama wana ubavu na yale walioyaona walitendewa vibaya basi tokeni hadhalani mtoe maoni yenu ili mpate haki yenu, na ndo mtajua wananchi kama tunawahitaji au laa.
Msijifiche nyuma ya keyboard huku tunajua mlikuwa mafisadi.
 
Muosha huoshwa
Leo wanapata kunywa siki iliyokwiva vyema
 
sorry si mshabiki wa vyama vya siasa.
ila hii topic ni about system.. wala haiwahusu chadema.
stick kwenye mada
 
Weka mchango wa Bashiru na Polepole kwenye hizo kazi wanazo chapa kwa sasa.
 
Bashiru aliisaliti taaluma yake kisa ni njaa. Sidhani kama anaweza kutoa mhadhara wa kisomi na akaeleweka leo kama zamani. From critical thinker to compromise thinker!
there is no going back. the moment alipo amua kusaliti taaluma na kutumika kisasiasa.. ndipo alijivuruga.
hata wanafunzi wake watamuona mtu wa ajabu
 
Hivi adui wa chadema ni Magufuli, Polepole na Bashiru au ccm?
Polepole alikua matawi ya juu
Aliitishia covid_19 na kusema iondoke au iishi Tanzania kwa heshima na adabu.

Nilijichekea mno. Eti anauonya huo moto wa gesi. Ila kilichompata yeye na kaka yake Bashiru bora wanhepatwa na covid maana labda wangepona
 

Kwenye mada yapo haya:

"Mabibi na mabwana kwa yanayotokea huko CCM kwa wengine kina sisi, hayo ni mambo ya Ngoswe."

Uandishi ni sanaa. Ungekuwa umesoma kuelewa ungekuwa umeona kuwa ushauri huu ni kwa watu fulani wala CCM hauwahusu.

Labda kama wewe ni Bashiru, pole pole au mshirika wa genge lao. Vinginevyo unayedemka ni wewe jombi.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
kuna watu walikuwa wanaserereka tu utafikiri wamepanda treni ya mwendokasi, leo katibu mkuu wa chama, kesho katibu mkuu kiongozi utafikiri nchi ilikuwa mali yao binafsi..


Sasa waishi kama mashetani....let by gone be gone?
 
Sasa waishi kama mashetani....let by gone be gone?

Hawaamini kuwa yamewakuta waliyokuwa wanawafanyia wengine.

Kweli dunia ukuta na malipo yote ni hapa hapa duniani.
 
Hawa watu na huyo Meko wao, walidhani hii nchi ni mali yao. Walizidisha majivuno, kibri, na udhalimu dhidi ya watanzania. Hawa wanastahili kunyongwa mpaka wafe.
 
Hawa watu na huyo Meko wao, walidhani hii nchi ni mali yao. Walizidisha majivuno, kibri, na udhalimu dhidi ya watanzania. Hawa wanastahili kunyongwa mpaka wafe.

Mkuu japo si muumini wa hukumu ya kifo, ninakubaliana nawe hawa watu kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria.

Hawa watu wanastahili kusimama vizimbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…