Minyukano CCM: Ushauri wa bure kwa Bashiru na wenzako kokote kule mliko

Mwacheni Mwl. Balozi Bashiru amalize kwanza majonzi ya msiba wa kipenzi chake. Bado anamachungu. Kidonda hakijapona.
 
Mwacheni Mwl. Balozi Bashiru amalize kwanza majonzi ya msiba wa kipenzi chake. Bado anamachungu. Kidonda hakijapona.

Ndiyo maana tunampa maujanja (ushauri):

"Kubwaga manyanga au/na kuanzisha chama cha siasa kuendeleza mapambano aliyoyasimia."

Hayuko peke yake bali na kundi zima linalo nasibiwa na kabila lile bila kumwacha mmoja wao yeyote nje.

Ni ushauri wa nia njema tu mkuu, yeye na wenzao wote kama binadamu.
 
Mzee wa vieitte sasa yupo viti maalum!!
Ngoja wanyooshwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maji gamba na Kibri kwa kujiona wanalindwa na mungu Mtu
Kwani mnafikiri hawakuyajua haya kuwa maisha Mapito Laa bali ndio tabia zao na hawatabadilika
Acha wakome
 
Hivi Kalamagamba Kabugi ana hali gani?
Hata yeye tayari kiburi kimepungua kidogo. Alikuwa as najifanya anajua kila kitu kuliko wengine. Sasa yuko kimya, labda anasoma upepo. Kitendo cha mama kudai Waziri wa Mambo ya nje amemcjagua kwenda kurekebisha mambo huko nje kimemzalilisha sana Kabudi maana alifikiri alikuwa anafanya kazi nzuri Kumbe walikuwa wanamchora tu.

But the biggest Looser of all ni Bashiru.... Itamchukua muda kurecover.... Polepole yeye kapoteza li V80 tu....!!
 
Wewe wasema hawa ndio walikuwa adui No.1 wa CDM.Rejea:Maovu waliyowatendea CDM na watu wake!
Magufuli kafa, Bashiru si katibu mkuu tena, Pole pole pia ametoka kwenye nafasi yake.

Je, matatizo yameisha sasa?
 
Kwahiyo Lisu ndio mmemdampo kihivo?
 
Ushauri mbaya Sana huu.

Mwache avute mpunga tu pale mjengoni
 
CCM wanagombana komoyoni moyoni ama,mbona hatusikii ama kuona kwa macho?
Kama ni kweli wanagombana basi ni kwenye vikao na kwa maslahi ya chama,ingekuwa ni vyama pinzani sahivi washapelekana mahakamani na kufukuzana kwenye chama.
CCM daima.
 
kuna watu walikuwa wanaserereka tu utafikiri wamepanda treni ya mwendokasi, leo katibu mkuu wa chama, kesho katibu mkuu kiongozi utafikiri nchi ilikuwa mali yao binafsi..
Wivu tu....kwani kuserereka namna hiyo alikuwa anajiteua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…