Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Wee umeona kama mimi. Ila nguo za jeshi ni kaliiii sijui nani alizibuni.Huyu aliyekaa kati kat ya Uganda na Kenya, yuko vyedi kwa matumizi ya binadamu, mkewe na hawara zake wanafaidi mnooo.
Anahamasisha kwa kweli, woiiiiiiiih