Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Asante mkuu, maisha ni haya hayaKila la kheri mkuu
Kwa huyu mleta mada hana huo uwezo ameamua tu kutuchangamshaUshauri: Vijana tamaa za ngono na uzinzi zitawamaliza.
Kadri unavyohusudu uzinzi ndivyo unavyonajisi destiny yako.
You can choose
Kweli mkuu, lakini mwisho wa maisha ya hapa duniani unaondoka na nguo moja tu; mengine ni ubatili mtupuUshauri: Vijana tamaa za ngono na uzinzi zitawamaliza.
Kadri unavyohusudu uzinzi ndivyo unavyonajisi destiny yako.
You can choose
Kwa mapigo wanayopiga, acha tuwapende tuTamaa mbaya sio kuwqpenda tu
Dhaifu sana wewe na hiyo mishangazi hata haikupendi unatumika tu
View attachment 3076824
Leta ushauri mkuu
Nipe code na chimbo ilo🤣Katika tembea tembea zangu, nimekutana na wengi wa mashangazi wana maumbo mazuri, chura ya kuvutia ikiwa ikinesa nesa, wanakuwa na swaga za kianamke; kusema ukweli nikikutana nao huwa nashindwa kuchomoa, najikuta nampenda tu.
Kwa hali hii, hii miaka mitano sijengi, ni kula maisha na mishangazi tu.
View attachment 3076821
Umeamua na wew 😉😉
Sina ushaur mwenye nahitaji uhoLeta ushauri mkuu
Wapo wamekuzunguka huko ulipoNipe code na chimbo ilo🤣
Zunguka zunguka utawapata, kuliko kupambana na hawa vimbao mbao 😀Sina ushaur mwenye nahitaji uho